ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,337
- 7,593
Umetia aibu sana...yaani ukodishe bodaboda ya 5,000 kukwepa makato ya 2,600 kwa wakala!!! Hii nchi ina watu wa hovyo sana.Jamaa wanafeli Sana, Siku moja nikipata dharula ya kifedha nikiwa pale Ofisi za Mkuu WA Mkoa Ilala. Nikaulizia ATM ya karibu wakasema niende msimbazi.
Nimechukua boda had round ya msimbazi kwa mbele kule Wana kibrach pale pembeni ATM Haina hela, boda akasema twende mnazi mmoja aisee nafika napishana na wateja nao wanatoka wanalalamika wametoa Kkoo Sokoni kule hamna kitu.
Nilifanikiwa kutoa Azikiwe Street ikanibidi nirudi Tena Ilala kwa boda Aisee nilikereka Sana.
Yaani nipo City Centre lakini kutoa hela ni ishu,