CRDB wazidi kushusha riba za mikopo; Dr. Kimei asema watumishi washindwe wenyewe

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Habari!

Leo nimemsikia Dr. Charles Kimei katangaza neema kwa warumishi wa umma na sekta binafsi ila katika yote kasema hits point kama zifuatazo

1. Muda wa marejesho imeongezeka toka miaka 5 hadi miaka 7 yaani miezi 84

2. Mteja anaweza kukopa hadi mil 100

3. Mkopo ni ndani ya masaa 24

4. Wananunua madeni ya taasisi nyingine za fedha

5. Wakopaji wote watapewa credit card ambazo wataweza kuchukua fedha bila riba yoyote ndani ya mwezi mzima.

6. Riba ni 16% Reducing rate ni sawa na 1.3% kwa mwezi na flat ni sawa na 8.88%

My take:

Benki zingine nao waige japo nawao wapunguze riba
 
6. Riba ni 16% Redusing rate ni sawa na 1.3% kwa mwezi na flat ni sawa na 8.88%

My take:

Benki zingine nao waige japo nawao wapunguze riba
Umenikumbusha Sungura na Simba aliyejisingizia anaumwa!
 
Afadhali vilio vya Riba vimesikika waendelee kushusha zaidi na zaidi..
 
Habari!

Leo nimemsikia Dr. Charles Kimei katangaza neema kwa warumishi wa umma na sekta binafsi ila katika yote kasema hits point kama zifuatazo

1. Muda wa marejesho imeongezeka toka miaka 5 hadi miaka 7 yaani miezi 84

2. Mteja anaweza kukopa hadi mil 100

3. Mkopo ni ndani ya masaa 24

4. Wananunua madeni ya taasisi nyingine za fedha

5. Wakopaji wote watapewa credit card ambazo wataweza kuchukua fedha bila riba yoyote ndani ya mwezi mzima.

6. Riba ni 16% Reducing rate ni sawa na 1.3% kwa mwezi na flat ni sawa na 8.88%

My take:

Benki zingine nao waige japo nawao wapunguze riba

tuelimishane hii interest mpya ni pamoja na mikopo ya zamaniambayo haijamalizika kulipwa?
 
Hizo asilimia ni lugha za kibiashara nenda kwa tawi then omba wakupe mkopo wa 10M for 84 month's then kaa chini ucalculate utarudisha kiasi gan baada ya huo mda... kama sikosea haipungui 22M!
So usikurupuke eti riba imeshuka na mda umeongezwa hiyo ni silent killing kwa wafanyakazi....Ila anyway kopa kwa lengo maalumu lakini mi nishauri wafanyakazi msikope kabisa kama fashion,mikopo ni mizuri kwa wafanyabiashara!
 
Habari!

Leo nimemsikia Dr. Charles Kimei katangaza neema kwa warumishi wa umma na sekta binafsi ila katika yote kasema hits point kama zifuatazo

1. Muda wa marejesho imeongezeka toka miaka 5 hadi miaka 7 yaani miezi 84

2. Mteja anaweza kukopa hadi mil 100

3. Mkopo ni ndani ya masaa 24

4. Wananunua madeni ya taasisi nyingine za fedha

5. Wakopaji wote watapewa credit card ambazo wataweza kuchukua fedha bila riba yoyote ndani ya mwezi mzima.

6. Riba ni 16% Reducing rate ni sawa na 1.3% kwa mwezi na flat ni sawa na 8.88%

My take:

Benki zingine nao waige japo nawao wapunguze riba
Magufuli oyeeeeeeee!!!
Dr Mpango oyeeeee!!!
Zito kabwe na wenzie ziiiiiiiii.
Kwa miaka mingi haya yalisemwa kama ndoto. Sasa hivi benk zinashindana kushusha ribs.
 
Back
Top Bottom