Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Habari!
Leo nimemsikia Dr. Charles Kimei katangaza neema kwa warumishi wa umma na sekta binafsi ila katika yote kasema hits point kama zifuatazo
1. Muda wa marejesho imeongezeka toka miaka 5 hadi miaka 7 yaani miezi 84
2. Mteja anaweza kukopa hadi mil 100
3. Mkopo ni ndani ya masaa 24
4. Wananunua madeni ya taasisi nyingine za fedha
5. Wakopaji wote watapewa credit card ambazo wataweza kuchukua fedha bila riba yoyote ndani ya mwezi mzima.
6. Riba ni 16% Reducing rate ni sawa na 1.3% kwa mwezi na flat ni sawa na 8.88%
My take:
Benki zingine nao waige japo nawao wapunguze riba