Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Umenikumbusha Sungura na Simba aliyejisingizia anaumwa!Habari!
Leo nimemsikia Dr. Charles Kimei katangaza neema kwa warumishi wa umma na sekta binafsi ila katika yote kasema hits point kama zifuatazo
1. Muda wa marejesho imeongezeka toka miaka 5 hadi miaka 7 yaani miezi 84
2. Mteja anaweza kukopa hadi mil 100
3. Mkopo ni ndani ya masaa 24
4. Wananunua madeni ya taasisi nyingine za fedha
5. Wakopaji wote watapewa credit card ambazo wataweza kuchukua fedha bila riba yoyote ndani ya mwezi mzima.
6. Riba ni 16% Redusing rate ni sawa na 1.3% kwa mwezi na flat ni sawa na 8.88%
My take:
Benki zingine nao waige japo nawao wapunguze riba
Umenikumbusha Sungura na Simba aliyejisingizia anaumwa!
Hahahaa......!!!Au panya na paka aliyejifanya kuslimu na hivyo hali panya tena!!
Habari!
Leo nimemsikia Dr. Charles Kimei katangaza neema kwa warumishi wa umma na sekta binafsi ila katika yote kasema hits point kama zifuatazo
1. Muda wa marejesho imeongezeka toka miaka 5 hadi miaka 7 yaani miezi 84
2. Mteja anaweza kukopa hadi mil 100
3. Mkopo ni ndani ya masaa 24
4. Wananunua madeni ya taasisi nyingine za fedha
5. Wakopaji wote watapewa credit card ambazo wataweza kuchukua fedha bila riba yoyote ndani ya mwezi mzima.
6. Riba ni 16% Reducing rate ni sawa na 1.3% kwa mwezi na flat ni sawa na 8.88%
My take:
Benki zingine nao waige japo nawao wapunguze riba
tuelimishane hii interest mpya ni pamoja na mikopo ya zamaniambayo haijamalizika kulipwa?
hiyo ni mikataba iliyokwisha sainiwa, wakipunguza naenda kuwashtakituelimishane hii interest mpya ni pamoja na mikopo ya zamaniambayo haijamalizika kulipwa?
Jpm kawa kimei?Hongera zimuendee JPM
Magufuli oyeeeeeeee!!!Habari!
Leo nimemsikia Dr. Charles Kimei katangaza neema kwa warumishi wa umma na sekta binafsi ila katika yote kasema hits point kama zifuatazo
1. Muda wa marejesho imeongezeka toka miaka 5 hadi miaka 7 yaani miezi 84
2. Mteja anaweza kukopa hadi mil 100
3. Mkopo ni ndani ya masaa 24
4. Wananunua madeni ya taasisi nyingine za fedha
5. Wakopaji wote watapewa credit card ambazo wataweza kuchukua fedha bila riba yoyote ndani ya mwezi mzima.
6. Riba ni 16% Reducing rate ni sawa na 1.3% kwa mwezi na flat ni sawa na 8.88%
My take:
Benki zingine nao waige japo nawao wapunguze riba
Tatizo hamfuatilii mijadala kwa akili ...Jpm kawa kimei?
Jpm anahusika vipi na crdb walamba miguu banaTatizo hamfuatilii mijadala kwa akili ...