Crescentius Mgori: Kuna Viongozi wana matatizo ya Afya ya Akili ndani ya Simba SC

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
“ Kuna watu wanajiona bila wao baadhi ya Mambo ndani ya Simba hayawezi kwenda nadhani wanatatizo la afya ya akili . Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Sc Crescentius Mgori, akizungumza kupitia Crown Fm Novemba 27,2025.
 
D9 ndo iwe kipaumbele kwanza
Hili ni jukwaa la michezo huo ujinga wenu pelekeni huko sia
“ Kuna watu wanajiona bila wao baadhi ya Mambo ndani ya Simba hayawezi kwenda nadhani wanatatizo la afya ya akili . Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Sc Crescentius Mgori, akizungumza kupitia Crown Fm Novemba 27,2025.
Huyo ni bwana JARIBU TENA Bila shaka.

Na huyo Magoli amesahau hata mashabiki.wapo wenye tatizo hilo...mojawapo ni GENTAMYCINE
 
Hili ni jukwaa la michezo huo ujinga wenu pelekeni huko sia

Huyo ni bwana JARIBU TENA Bila shaka.

Na huyo Magoli amesahau hata mashabiki.wapo wenye tatizo hilo...mojawapo ni GENTAMYCINE

Unamchokoza Mr Genta!
Sina shaka anamsema Bwana KADU! Kila Simba ikifungwa, huwa anajitokeza na kudai, angekuwa yeye ni kiongozi hapo, haiwezekani kufungwa fungwa!
 
Back
Top Bottom