FestoKaguo
Senior Member
- Apr 1, 2022
- 128
- 202
Leo nilikuwa napitia tovuti ya The New England Journal of Medicine, na nikakutana na taarifa muhimu iliyotolewa mwaka 2020 kuhusu utafiti wa CRISPR-Cas9.
Ripoti hiyo inaelezea jinsi wagonjwa wawili waliopokea matibabu kwa kutumia CRISPR-Cas9 walivyoonesha matokeo mazuri.
Kwa wale ambao hawafahamu, CRISPR-Cas9 ni teknolojia ya gene editing inayowezesha genetic modifications kwa njia salama. Inaweza kuondoa au kuongeza sehemu ya DNA kwa ajili ya kutibu magonjwa ya kurithi kama sickle cell anemia na β-thalassemia.
Katika utafiti huu, watafiti wameandika kuwa mgonjwa mmoja aliyekuwa ameathiriwa na ugonjwa wa β-thalassemia alipata engraftment ya neutrophil siku ya 33 na platelet siku ya 37 baada ya matibabu. Allelic editing ilikuwa 68.9%, ikionesha mafanikio makubwa.
CRISPR-Cas9 ni promising technology na inaweza kuwa na mabadiliko makubwa kwenye matibabu ya magonjwa haya. Kama unavutiwa na masuala ya afya, unaweza kujifunza zaidi kupitia utafiti huu huenda ukapata msaada kwa familia yako au ndugu anayekutana na changamoto za afya.
Link yake ni hii hapa.. https://www.nejm.org/doi/full/10.1056/NEJMoa2031054