Jamaa achana na CR7 yule mifupa yake nikama ana miaka 22, kufunga ama kutofunga ni kawaida na nikipind cha mpito tu
Huyu jamaa anapenda sana kitonga anatengenezewa mazingira ya kufunga goal akapumzike sasaSiku hizi bila tuta hafungi
Na wachezaji wa juve naona wamechoka kumtafunia MTU afunge
Sio km Madrid ambapo kila pasi ya mwisho ilikuwa inaenda kwake
Ameshajua upepo unaendajeNilimskia ktk mahojiano anasema anataka kustaafu akiwa na miakaa 40
Nikasema labda aende India au China
Ila amechoka sana
Wale midfielders wa Portugal atafunga magoli hadi avunje record ya Ali DaieiKuchoka kashachoka sema mifumo ya juve haimpi nafasi mbona akiwa taifa anakamua
Mimi sina ushabiki wa MTU .mimi ni shabiki wa mpira ...
Tambua tu Messi ni kiumbe hatari kuwahi kutokea kwenye mpira. Amewaacha mbali wachezaji wenzake
Pele alicheza ligi gani zingine hadi unamkubali,? Utasikia fanya ka PeleKama huna ushabiki kwa nini umlinganishe na andunje?
Kwani ukimuongelea cr7 ni lazima umtaje anduje..?
... andunje sifa anazopewa sidhani kama zinastahili kama angeenda ligi nyingine!
Hivyo vilabu vya ligi tajwa anakutana nao UEFA na bado anawafunga kama kawaida.Kama huna ushabiki kwa nini umlinganishe na andunje?
Kwani ukimuongelea cr7 ni lazima umtaje anduje..?
... andunje sifa anazopewa sidhani kama zinastahili kama angeenda ligi nyingine!
Na hatokujaa kuudhulia tena katikaa sherehe hiziAmeshajua upepo unaendajeView attachment 1279727
Mwisho wa zama umefikaNa hatokujaa kuudhulia tena katikaa sherehe hizi
HahaaaKule timu ya taifa huwa anatembea kwenye boksi akisubiri mipira ya kichwa na mashut yaliyotemwa na goli kipa
Huyu jamaa anapenda sana kitonga anatengenezewa mazingira ya kufunga goal akapumzike sasa
World cup vipi???wachezaji wote wakubwa wamecheza timu tofauti kwa nini kanakazana Barcelona tu..wachezaji wote Barca wanakuwa watumwa wake ...Mimi sina ushabiki wa MTU .mimi ni shabiki wa mpira ...
Tambua tu Messi ni kiumbe hatari kuwahi kutokea kwenye mpira. Amewaacha mbali wachezaji wenzake