yitzhak
JF-Expert Member
- Jul 3, 2019
- 616
- 853
- Thread starter
- #21
Muwe mnafatilia mpira mkuu sio mnasoma tu kwenye magazeti
Huyu Rinaldo ameisha
Hizo za kusema anamfupa wa miaka 22 ni siasa za kwenye mpira ili asishuke thamani
Misimu muwili ya mwisho akiwa real Madrid alishaanza kujichokea
Ameenda kufia juventus km anaakili aindoke ulaya akavune pesa sehemu nyengine

Jamaa achana na CR7 yule mifupa yake nikama ana miaka 22, kufunga ama kutofunga ni kawaida na nikipind cha mpito tu