Cristiano Ronaldo anasubiria nini kustaafu? Au hadi aanze kuzomewa uwanjani ndio atakubali


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bongo nyoso
 
Timu nzima ikoseshwe vitu vingi na mtu mmoja naona unatumia sana hisia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu Ronaldo ndo mseme amekuaje hebu acheni majungu sifa zake mpeni sio kuleta mambo ya ajabu
 
Ubishi wa CR7 naupenda sana,pambana na jambo mpaka mwisho,roho inamuuma anajua hapati ila utashangaa ameibuka na kupambana kwa nguvu mpaka anarudi
Umenena vyema mkuu.... Yule jamaa ni mpambanaji sana koz hadi kufika pale kapambana sana tofauti na ile experiment walio iongezea kimo na kumpigilia misumari katika club moja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh.... We jamaa ni mbishi aisee... yawezekana unatokea kigoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…