Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,652
- 2,355
Hawana hela ya kumlipaAu aje YANGA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana hela ya kumlipaAu aje YANGA
Perez hakuwa mjinga kumruhusu aondoke pale Madrid,Cr7 kiwango chake kimeanza kushuka toka akiwa Madrid ila ubora wa viungo pale ulifanya ubovu wa cr7 usionekane hasa kwa wale mashabiki maandazi,Na kwa mwendo wa pale juve naona kabisa Cr7 atawakosesha vitu vingi,Huyu jamaa kachoka vibaya ila anaforce.
Timu nzima ikoseshwe vitu vingi na mtu mmoja naona unatumia sana hisiaPerez hakuwa mjinga kumruhusu aondoke pale Madrid,Cr7 kiwango chake kimeanza kushuka toka akiwa Madrid ila ubora wa viungo pale ulifanya ubovu wa cr7 usionekane hasa kwa wale mashabiki maandazi,Na kwa mwendo wa pale juve naona kabisa Cr7 atawakosesha vitu vingi,Huyu jamaa kachoka vibaya ila anaforce.
Umenena vyema mkuu.... Yule jamaa ni mpambanaji sana koz hadi kufika pale kapambana sana tofauti na ile experiment walio iongezea kimo na kumpigilia misumari katika club moja tu.Ubishi wa CR7 naupenda sana,pambana na jambo mpaka mwisho,roho inamuuma anajua hapati ila utashangaa ameibuka na kupambana kwa nguvu mpaka anarudi
Duh.... We jamaa ni mbishi aisee... yawezekana unatokea kigomaHivi wewe unaangalia mechi za Barcelona au Argentina?
Au nafanya convo na MTU asiyejua hata mpira!
Barcelona ndio inamtegemea Messi ...uchezaji wa messi kwa 98% ndio unachangia matokeo chanya kwa timu yake na timu ya Taifa
Kwahiyo usije ukaleta story za vijiweni hapa