Juzi tu katoka kuwaonyesheni libolo lake, anacheza tu akili zenu mazezeta.View attachment 2633895
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Kweli mzungu si mwenzangu, isipokuwa hivi sasa tunaona kumekuwa na "trend" ya wazungu wengi kusilim duniani. Tunaomba In shaa Allah soon tushuhudie Ronaldo akisilim.Mzungu sio mwenzako ni anacheza tu na ajili za waarabu kula zaidi pesa zao
View attachment 2633895
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Bao muhimu, ishara muhimu.mwenzako yuko kibiashara kuridhisha mashabiki. endelea kulia lia kujifanya mfia dini.
wewe ni mdini sanaa. huna tofauti na yulee mzee mohamed said, nakuwa na wasi wasi na wewe ata kujitoa muhanga na mabomu unaweza.
Sawa mama watch 100 tumekuelewa, ila tunaomba miradi ya kimkakati iishe kwa wakati [emoji120]View attachment 2633895
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Kusujudu sio kwa waislam mpekee.View attachment 2633895
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Na mabikra 72 wana msubiriSafi sana, tena tukishuhudia anasilim atazawadiwa binti wa kifalme.
Raha iliyoje.
Unaonesha hii habari ya Ronaldo imekufurahisha sana. Au siyo?mwenzako yuko kibiashara kuridhisha mashabiki. endelea kulia lia kujifanya mfia dini.
wewe ni mdini sanaa. huna tofauti na yulee mzee mohamed said, nakuwa na wasi wasi na wewe ata kujitoa muhanga na mabomu unaweza.
Mambo yasiwe mengiView attachment 2633895