Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Mpaka kazi zake nazijua vema
Unajua hata shetani ni kitu gani!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua hata shetani ni kitu gani!?
Hakuna kiumbe maalum kinaitwa shetaniMpaka kazi zake nazijua vema
Kwa mujibu wa imani yakoHakuna kiumbe maalum kinaitwa shetani
Siyo Imani,neno shetani ni neno la kiarabu..ushetani ni Hali,ulipomtongoza yule dada ukazini wewe ulikua shetaniKwa mujibu wa imani yako
UsinichosheSiyo Imani,neno shetani ni neno la kiarabu..ushetani ni Hali,ulipomtongoza yule dada ukazini wewe ulikua shetani
Aliyemdanganya Adam na Eva/hawa ni ibilisi,kitendo alichofanya ni ushetani,ambao hata wewe hufanya..ulichoweka hakikanushi hilo
Takhbiiiiiirrrrr !!! wiki ijayo atasilimuView attachment 2633895
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Jifunze kutafakari mambo, usiwe unakariri tu. Mungu yupo na siku zote ni mmoja tu, lakini HILO SIO JINA, ni sifa ambayo anayo Yeye tu. Mwanadamu akitenda kwa kujiona kama Mungu huitwa MUNGU MTU!! Shetani ametajwa kuwa MUNGU WA DUNIA HII!Aliyemdanganya Adam na Eva/hawa ni ibilisi,kitendo alichofanya ni usshetani,ambao hata wewe hufanya..ulichoweka hakikanushi hilo
Asilimu ili iweje?In Shaa Allah na wewe silim.
Una kichwa kigumi Sana na ujuviJifunze kutafakari mambo, usiwe unakariri tu. Mungu yupo na siku zote ni mmoja tu, lakini HILO SIO JINA, ni sifa ambayo anayo Yeye tu. Mwanadamu akitenda kwa kujiona kama Mungu huitwa MUNGU MTU!! Shetani ametajwa kuwa MUNGU WA DUNIA HII!
Ndivyo ilivyo kwa shetani, mwanadamu akitenda mambo ya kishetani (sifa za shetani) huitwa shetani. Hiyo haindoi ukweli kwamba shetani yupo.
ibilisi Kiingereza ni "the devil" ambapo hata mwanadamu akitenda yaliyo sawa na ibilisi huitwa hivyo pia. Kwa hiyo hizo ni sifa, ibilisi, shetani. Au hukupata kusoma methali IBILISI MBAYA KIATU CHAKE DAWA? Unadhani inamwongelea shetani?
NNajua imani yako imekufundisha kuwa Ibilisi ni jina halisi, lakini hata kamusi tu za kawaida zinakukataa.
Kwa mujibu wa imani yakoUna kichwa kigumi Sana na ujuvi
Kuna bingwa wa zamani wa kickboxing anaitwa Andrew Tate juzi juzi Kaiona nuru ya Uislam.
Umeipata hiyo?
The high level ya kuonyesha respect ,na kushukuru ni kusujudu. Hii ni natural way mtu aweza kuonyesha to all might..View attachment 2633895
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Ronaldo akisilimu inakusaidia nn mtu wa nachingwea Lindi huko?View attachment 2633895