Wewe ndio hujaelewa, wanaomsujudia Allah unawajua ni wa imani ipi! Mmoja wao ni mimi muislamu, I'msoproudtobeaMuslim
Na asiekua muislamu hata asujudu vipi kama si muislamu ni kazi bure tu,
Hivyo ninaheshimu imani za wengine though tunatofautiana kiimani, wewe ni mpagani na mimi nina dini/muislamu
إِنَّ الدِّينَ عِنْدَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِنْ بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَنْ يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ
19 Al-'Imran
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.
Allah akuongoze mkuu
dunga mawe , karibu sana katika Uisilamu, dini ya kweli na ya haki, na amani tele