makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mwisho wa siku waislam utaonekana ni mapoyoyo, kipi special saana kwa cr7 kuslimu, kwanza sidhani kama kasujudu na hata akisujudu na kuslimu kabisa, kipi cha ajabu!?
Unakuta ubishani mtaani pogba muislam, haya uislamu wake umekusaidia nini wewe wa samvulachore, uislamu wake umesaidia nini uislamu.
Ooh.. Tanzania inabebwa na waislam, sijui diamond, Ali Kiba waislam, kipi cha ajabu, na wana mchango gani haswa kwenye uislamu.
Waislam tusiwe kama mapoyoyo.