Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Hawa watu hawana uelewa kabisa. Yaani mpaka nimeshangaa. Kusujudu kupo kabla ya Uisalmu kuwepo duniani.
. Hatujawaona wachezaji mpira wasio Waislam wakishangilia goli kwa kusujudu kabla ya hii mpya ya Ronaldo. Au wewe ulishawaona?
. Hapo Sasa.
 
Hivi kusujudu ni kwa Waislamu tu mpaka useme huo ndio mwanzo wa Ronaldo kusilimu? Mbona Papa Yohani Paulo wa Pili aliyezuru nchi nyingi sana alikuwa na kawaida ya kusujudu kila akikanyaga nchi ngeni? Naye basi tuseme alikuwa anaelekea kuwa Mwislamu?
 
Hatujawaona wachezaji mpira wasio Waislam wakishangilia goli kwa kusujudu kabla ya hii mpya ya Ronaldo. Au wewe ulishawaona?
 
Mwaka 2013 Ronaldo alisema hivi...

Mbona majini yalimbeba Yesu au hujui?
 
Wote hao vibaraka wa CIA kimataifa.......Vip waislamu waliobadili dini huko arabuni waga wanatrend au wanaishia jela........au kukimbia nchi zao????
Hii ungemuuliza mzee wako,
si unasema kaishi Saudi Arabia miaka 15?
 
. Hatujawaona wachezaji mpira wasio Waislam wakishangilia goli kwa kusujudu kabla ya hii mpya ya Ronaldo. Au wewe ulishawaona?
. Hapo Sasa.
Nimewaona wengi sana hata Ligi ya ndani hapa ya NBC. But Papa alipofika Tz mwaka 1990 au 92 alisujudu. Na akakiss ardhi ya Tz. So akawa Muislamu 🤣 mimi huwa nasujudu mara nyingi tu. Yaani issues nyingine ni za kitoto hata kuzipost. Zinaonesha wewe ni maamuma sana. Kuna ambao wakifunga goal wanaonesha vidole juu Wakristo kwa Waislamu. Wakimshukuru Mungu. Kuna wanaosujudu Wakristo kwa Waislamu. Yaani its normal its not an issue. But suppose we assume amekuwa Muislam. Is that an issue? Only for poor minded people.
 
Papa nae alifunga goli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…