FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #261
. Hatujawaona wachezaji mpira wasio Waislam wakishangilia goli kwa kusujudu kabla ya hii mpya ya Ronaldo. Au wewe ulishawaona?Hawa watu hawana uelewa kabisa. Yaani mpaka nimeshangaa. Kusujudu kupo kabla ya Uisalmu kuwepo duniani.
. Hapo Sasa.