Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Hawa watu hawana uelewa kabisa. Yaani mpaka nimeshangaa. Kusujudu kupo kabla ya Uisalmu kuwepo duniani.
. Hatujawaona wachezaji mpira wasio Waislam wakishangilia goli kwa kusujudu kabla ya hii mpya ya Ronaldo. Au wewe ulishawaona?
. Hapo Sasa.
 
View attachment 2633895

Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.

Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?

Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.

Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Hivi kusujudu ni kwa Waislamu tu mpaka useme huo ndio mwanzo wa Ronaldo kusilimu? Mbona Papa Yohani Paulo wa Pili aliyezuru nchi nyingi sana alikuwa na kawaida ya kusujudu kila akikanyaga nchi ngeni? Naye basi tuseme alikuwa anaelekea kuwa Mwislamu?
 
Hatujawaona wachezaji mpira wasio Waislam wakishangilia goli kwa kusujudu kabla ya hii mpya ya Ronaldo. Au wewe ulishawaona?
 
Allah mwenyewe kachukua koran kutoka kwa viumbe sasa challenge ya nini ? mwisho wa siku hakutoa aknowledgement kwa aliowanukuu , alifanya plagiarism
  • Talking ants, maneno ya ant ndani ya koran
    • 27:18. ...., alisema mdudu chungu mmoja: Enyi wadudu chungu! Ingieni majumbani mwenu, asikupondeni Sulaiman na majeshi yake bila ya wao kutambua.
  • Aya za Binadamu, Sulaiman
    • Sulaiman .....akasema: Imekuwaje, mbona simwoni Hud-hud, au amekuwa miongoni mwa walio ghibu?
  • Aya ya Ndege Hud Hud
    • 27:22. Basi (Hud-hud) akakaa si mbali na akasema: Nimegundua usilo gundua wewe, na ninakujia hivi kutoka nchi ya Sabai, na nakuletea khabari za yakini.
  • Aya ya shetani
    • Hijr:39. [Iblis (Satan)] said: "O my Lord! Because you misled me,.....
  • Sura ya majini , hii ni almost surah nzima ni yao wanaongea
    • Jinn: 1 - ....kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu

Mwaka 2013 Ronaldo alisema hivi...

Screenshot_20230525_162122_Facebook.jpg
 
Hii ya kusujudu ni kwa wanadamu wote bila kujali dini yao.
Ila sisi Wakristo tunafanya kwa moyomoyo kuliko kufanya kwa vitendo zaidi ambako ndani yake kuna unafiki.
Limtu linasujudu huku ndani kamweka mwanae ndondocha. Li mtu linasujudu huku mfukoni ana majini.
Nitajie kiongozi wa dini ya mudi ambaye si mchawi nikate bakora yangu nisizae tena
Mbona majini yalimbeba Yesu au hujui?
 
Wote hao vibaraka wa CIA kimataifa.......Vip waislamu waliobadili dini huko arabuni waga wanatrend au wanaishia jela........au kukimbia nchi zao????
Hii ungemuuliza mzee wako,
si unasema kaishi Saudi Arabia miaka 15?
 
. Hatujawaona wachezaji mpira wasio Waislam wakishangilia goli kwa kusujudu kabla ya hii mpya ya Ronaldo. Au wewe ulishawaona?
. Hapo Sasa.
Nimewaona wengi sana hata Ligi ya ndani hapa ya NBC. But Papa alipofika Tz mwaka 1990 au 92 alisujudu. Na akakiss ardhi ya Tz. So akawa Muislamu 🤣 mimi huwa nasujudu mara nyingi tu. Yaani issues nyingine ni za kitoto hata kuzipost. Zinaonesha wewe ni maamuma sana. Kuna ambao wakifunga goal wanaonesha vidole juu Wakristo kwa Waislamu. Wakimshukuru Mungu. Kuna wanaosujudu Wakristo kwa Waislamu. Yaani its normal its not an issue. But suppose we assume amekuwa Muislam. Is that an issue? Only for poor minded people.
 
Papa nae alifunga goli?
 
Back
Top Bottom