Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Papa aliyekuja Tanzania unafahamu kisa kilichomtowa kwenye upapa mbio mbio? isijekuwa ni huko kusujudu.

Jiulize na katafute sababu za yeye kujitowa upapa.
Kumbe kichwani ni mweupe sana.... 🤣 Nimefurahi kugundua hili. Popes hawa si ndo inasemekana walitengeneza uislamu?
 
Yaani bibi faiza unaniuliza swali badala ya kujibu maswali yangu kwanza...Acha uhuni wa kitoto,,wewe ndio mleta mada sasa lazimaa ujibu maswali yetu kwanza kabla hujatuuliza maswali.
Hakuna swali lako ambalo sijalijibu. Niache kukujibu wakati hapa nafanya da'awa. Labda unaota.

Unajuwa maana ya da'awa?
 
Allahu Akbar Mungu amefurahi sana.
Allah ametangazwa na Ronaldo
Leo Allah amepewa Airtime
Ronaldo amembrand Allah
Allah amepata Exposure tena kutoka kwa mtu mkubwa kama Ronaldo
Allahu akbar
Allah huko alipo anashukuru sana
 
Na huyo maria alisilimu baada ya kuolewa na Mohammad?
 
Hata wayahudi husujudu usiwe kipofu wa dini.
 
Kwahiyo Mudi aliukuta Ukristo ?
25000q mnakili vizuri Dada yako...
Tukiwaambia Wakatoliki waliunda Uislam msikatae hadi Mudi kapewa binti aoe
 
Kwahiyo Mudi aliukuta Ukristo ?
25000q mnakili vizuri Dada yako...
Tukiwaambia Wakatoliki waliunda Uislam msikatae hadi Mudi kapewa binti aoe
Coptic siyo catholic.

Huelewi unachokisoma?

Umemuona Ronaldo kapiga bao akasujudu? Wewe lini ulisujudu?
 
Coptic siyo catholic.

Huelewi unachokisoma?

Umemuona Ronaldo kapiga bao akasujudu? Wewe lini ulisujudu?
Mimi kila nikipata nafasi huwa namsujudia Mungu wangu...kwakua Mimi sijashikwa akili kama wewe kwakua umekimbia maswali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…