Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Mimi kila nikipata nafasi huwa namsujudia Mungu wangu...kwakua Mimi sijashikwa akili kama wewe kwakua umekimbia maswali
Naam, siyo ubampangia Mungu, eti kila unapopata nafasi, inatakiwa umsujudie Muumba wako kwanza halafu ndiyo mengine
 
Huyo mudi wako unamjuwa wewe, mimi simfahamu.
 
Ila uislamu ni dini ya ajabu kweli.
 
Jukwaa la michezo kuwa na mabishano ya kidini sio mchongo kabisa.

Halafu wengi wao sasa wanaojadili hili swala hata interest na mipira hawana.

Hii inashangaza
 

Hiyo kijeshi tunaiita kabeba dunia!
Kusujudu gani huko kaweka utosi wote chini
 
Kweli kabisa, ni vyema furaha yake imetufurahisha zaidi

Mradi kaanza kusujudu, aliyemsujudia atamwongowa, usiwe na hofu.

In Shaa Allah na wewe "maweed" yatakusannif usujudu.
Haimaanishi yeye ni mwislam hata angeingia msikitini
 
Kwani kusujudu ni kufanya nini??

Ni Heshima au Ibada??
Yesu Ametahadharisha sana kusujudu na kupata alama usoni(sigda)

Revelation 14:9-12
[9]Na mwingine, malaika wa tatu, akawafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake,

[10]yeye naye atakunywa katika mvinyo ya ghadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.

[11]Na moshi wa maumivu yao hupanda juu hata milele na milele, wala hawana raha mchana wala usiku, hao wamsujuduo huyo mnyama na sanamu yake, na kila aipokeaye chapa ya jina lake.

[12]Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu.

Tunaona watu wanasujudu na kupata sigda ukiwauliza kuhusu hiyo sigda wanakujibu hiyo ni tochi! Cha kushangara Mungu ni Nuru hiyo tochi ya kumulika kuzimu Wanako enda?? Ref!; Suratul mariam.71!

Jee shetani uchu wake wa kusujudiwa uliisha??
Kawapata wa kumsujudia
 
Jifurahishe tu, unaonesha hata unachokisoma hukielewi, naemsujudia mnyama au binadam mwenzake ni mshirikina tu.
 
KINACHONISHANGAZA HATA UKIINGIA GOGLE AU CHAT GTP ukaandika waraqan bin Nawfah ni nani UNAPATA majibu.

Waraqa bin Nawfal ni mtu ambaye alikuwa na ujuzi wa dini ya Kikristo na alikuwa ni binamu wa mkewe Khadija bint Khuwaylid, ambaye alikuwa mke wa kwanza wa Mtume Muhammad (S.A.W).

Kuna riwaya ambazo zinasema kwamba Waraqa alitabiri kuja kwa Mtume Muhammad (S.A.W) kabla ya kuanza kwa utume wake, na alimsaidia sana katika kuanzisha Uislamu. Waraqa alikuwa na maarifa ya Biblia na Injili, na inasemekana kuwa alikuwa amejiweka katika sehemu za kupata maarifa hayo katika enzi zake.


Baadhi ya riwaya zinasema kuwa Waraqa alisoma maneno ya kwanza ya Suratul-Alaq ambayo yaliteremshwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) katika Pango la Hira. Waraqa alikuwa mmoja wa watu wa kwanza kusilimu, na inasemekana kuwa alikuwa ameshaandika baadhi ya vitabu ambavyo vilikuwa vinaashiria kuja kwa Mtume Muhammad (S.A.W).

Hata hivyo, Waraqa alifariki kabla ya kuanza kwa utume wa Mtume Muhammad (S.A.W) na hivyo hakuwa mmoja wa Masahaba wake wa karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…