makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Wajinga ni wale wanaochonga sanamu Kisha wanalipigia goti sanamu walochonga kwa mikono yao na kuliomba msaadaYap, kwa wajinga haswa
Sijui itakuaje mo Salah akifunga goli Kisha akafanya ishara ya msalaba!Watakan....kata!!!
Ewe mfia dini, mfuasi wa Mwamedi naona unajipa moyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ronaldo ni mjanja na hapo target yake ni fweza tu...wewe endelea kutawadha tu
Tutasema Alhamdullilah[emoji23]Sijui itakuaje mo Salah akifunga goli Kisha akafanya ishara ya msalaba!
Haitokua habari!?Tutasema Alhamdullilah[emoji23]
Eti kusujudu kimoyomoyo..na unanadi umekimbia upuuzi(uislam)..mbona una-sound kipuuzi zaidi!!...kwa hiyo siku hizi unapiga goti kuliomba sanamu walochonga wenzako kwa mikono yao na unaona siyo upuuzi,siyo!?..unamuabudu fundi seremala ambaye huna uhakika Kama ni Mungu au laa Ila unamuomba yeye...na bado unaamini umekimbia upuuzi umeenda kusiko upuuzi!?..ni heri puuzi moja limetoka kwenye uislamHawa wapuuzi hawanipi saida. Nawajua vyema maana nami nilikuwa hukohuko kwenye upuuzi
nikifika kule itabidi niombe faiza focy awe miongoni mwa wale mabikra 72 nitakaopewa maana daaah nmekaa msikitin miaka yote mpaka paji limegeuka jeusi kwa kusujuduKumbuka tu, mbora miongoni mwetu ni mcha Mungu.
Hakuna anaemsujudia Muumba wake akaongea upuuzi kama wewe.nikifika kule itabidi niombe faiza focy awe miongoni mwa wale mabikra 72 nitakaopewa maana daaah nmekaa msikitin miaka yote mpaka paji limegeuka jeusi kwa kusujudu
mm ndo nishasema lazma nikutafute tukifika pepon nikutongeze uwe miongon mwao hata kama bikra itakuwa haijarudishwaHakuna anaemsujudia Muumba wake akaongea upuuzi kama wewe.
Tena hao ni namba tu hiyo , peponi raha zake fikra zetu hazijawahi kuzifikiria.
Tiketi ya kufika peponi ni wepesi sana sana kuipata, ni kujisalimisha kwa Muumba wako na kuwacha kuwa mshirikina.
Ukiwa Roma ishi kama Warumi ...View attachment 2633895
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Kwa taarifa yako mimi sivai sanamu, siamini sanamu ya kuchonga, ya kusubu au sanamu ya kuchora.Eti kusujudu kimoyomoyo..na unanadi umekimbia upuuzi(uislam)..mbona una-sound kipuuzi zaidi!!...kwa hiyo siku hizi unapiga goti kuliomba sanamu walochonga wenzako kwa mikono yao na unaona siyo upuuzi,siyo!?..unamuabudu fundi seremala ambaye huna uhakika Kama ni Mungu au laa Ila unamuomba yeye...na bado unaamini umekimbia upuuzi umeenda kusiko upuuzi!?..ni heri puuzi moja limetoka kwenye uislam
Wajinga ni wale wanaochonga sanamu Kisha wanalipigia goti sanamu walochonga kwa mikono yao na kuliomba msaada
Vipi wanaomwabudu SHETANI wakidhani ni Mungu?Wajinga ni wale wanaochonga sanamu Kisha wanalipigia goti sanamu walochonga kwa mikono yao na kuliomba msaada
Kama wewe utakavyokabidhiwa wanaume 70 ukienda peponiSafi sana, tena tukishuhudia anasilim atazawadiwa binti wa kifalme.
Raha iliyoje.
Kama wewe utakavyokabidhiwa wanaume 70 ukienda peponi
Mimi namuabudu aliyemtuma yesu,yule ambaye yesu akimuomba Mara kwa Mara mambo yalipokua magumu..'baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke'..'baba wasamehe hawajui walitendalo'.. Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniachaKwa taarifa yako mimi sivai sanamu, siamini sanamu ya kuchonga, ya kusubu au sanamu ya kuchora.
Njoo kwa Yesu akutoe hayo maruhani uwe huru
Mbinguni hakuna biashara ya kut*mbana, kama hujamaliza nyege zako hapa duniani. Sahau hizo storyHakuna kukabidhiwa huko, huko ni kufikiria tu utakacho kinakuwa, kun fa yakun.
Nani alikudanganyana kuna kukabidhiana huko?
Au wewe ni wale wanaoungama kwa binaadam wenzao, wajinga ndiyo waliwao?
Unajua hata shetani ni kitu gani!?Vipi wanaomwabudu SHETANI wakidhani ni Mungu?