Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Nimewaona wengi sana hata Ligi ya ndani hapa ya NBC. But Papa alipofika Tz mwaka 1990 au 92 alisujudu. Na akakiss ardhi ya Tz. So akawa Muislamu 🤣 mimi huwa nasujudu mara nyingi tu. Yaani issues nyingine ni za kitoto hata kuzipost. Zinaonesha wewe ni maamuma sana. Kuna ambao wakifunga goal wanaonesha vidole juu Wakristo kwa Waislamu. Wakimshukuru Mungu. Kuna wanaosujudu Wakristo kwa Waislamu. Yaani its normal its not an issue. But suppose we assume amekuwa Muislam. Is that an issue? Only for poor minded people.
Ur right
 
View attachment 2633895

Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.

Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?

Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.

Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Mbona hio style tunawapiga sana madem wakija magetoni na kama anapapa imelegea utaskia vijambo kwenye k kila ukipress pipe. Alafu mwamba anacheza na akili za watu kule hana cha kufanya akawa kwenye mitandao kwahyo akipiga hyo style ya mbuzi kagoma bas mtaongea sana😂😂
 
Ronaldo amesujudu, juu huko wamesema kama alivyofanya Papa Paulo alipokuja Tanzania, umemuona?
 
HIVI WAISLAM NDO WANAOSUJUDU WAO PEKE YAO AMA UTARATIBU UKOJE
 
Nimewaona wengi sana hata Ligi ya ndani hapa ya NBC. But Papa alipofika Tz mwaka 1990 au 92 alisujudu. Na akakiss ardhi ya Tz. So akawa Muislamu 🤣 mimi huwa nasujudu mara nyingi tu. Yaani issues nyingine ni za kitoto hata kuzipost. Zinaonesha wewe ni maamuma sana. Kuna ambao wakifunga goal wanaonesha vidole juu Wakristo kwa Waislamu. Wakimshukuru Mungu. Kuna wanaosujudu Wakristo kwa Waislamu. Yaani its normal its not an issue. But suppose we assume amekuwa Muislam. Is that an issue? Only for poor minded people.
Papa aliyekuja Tanzania unafahamu kisa kilichomtowa kwenye upapa mbio mbio? isijekuwa ni huko kusujudu.

Jiulize na katafute sababu za yeye kujitowa upapa.
 
Umekwepa swali, nalirudia; unafahamu maana ya neno Uislam?
Yaani bibi faiza unaniuliza swali badala ya kujibu maswali yangu kwanza...Acha uhuni wa kitoto,,wewe ndio mleta mada sasa lazimaa ujibu maswali yetu kwanza kabla hujatuuliza maswali.
 
View attachment 2633895

Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.

Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?

Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.

Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Kusujudu nachojua ni Kwa wote wakristo na waislam me Sion kama Kuna maana ya amemaanisha ni kupenda uislam laa
 
Back
Top Bottom