Cristiano Ronaldo moja ya mafanikio yake makubwa ni kufananishwa na Lionel Messi lakini kiuhalisia huyu Lionel Messi ni wa level za Pele na Maradona.
Huyu Ronaldo ni wa kulinganishwa na akina Lewandowski na Ibrahmovic ambao ndio level zake.
Kitu pekee team Cr7 walichobakiza ni kumuita Ronaldo goal machine. Hii hoja nayo muda sio mrefu Messi ataizima. Mwambieni Ronaldo ahakikishe mpaka Messi kastaafu na yeye astaafu ila akijiroga akastaafu kabla ya Messi ni suala la msimu mmoja tu atapitwa kwa magoli na ugoal machine utaishia hapo na jambo hili linamuuiza sana kichwa Ronaldo japo mwili umeshamkataa.
Yote kwa yote all time top 3 G.O.A.Ts:
1. Lionel Messi
2. Pele
3. Maradona

View attachment 2450562
Yote kwa yote all time top 3 G.O.A.Ts:
1. Lionel Messi
2. Pele
3. Maradona
Top score wa champions league history michuano Bora ya vilabu Duniani mchezaji mwenye Tuzo Tano za haki ta Ballon dor mchezaji anayeshirikilia rekodi ya kufunga Goli nyingi Kwa msimu mmoja kweny champions league mchezaji mwenye more than 40 hat trick mchezaji aliyechukua ufungaji Bora wa Champions leauge zaidi ya mara nne unakuja Kulinganisha na matakakataka gani wew bila shaka ni kichaa wa akili

Tangu nimeanza kutizama Soka Kwangu Gaucho akifuatiwa na Zidane naona niwatu waajabu sana, Walicho fanya kwenye Soka ni Sanaa ya ajabu sana. Wali utiisha mpira vile watakavyo wao.