Cristiano Ronaldo moja ya mafanikio yake makubwa ni kufananishwa na Lionel Messi lakini kiuhalisia huyu Lionel Messi ni wa level za Pele na Maradona.
Huyu Ronaldo ni wa kulinganishwa na akina Lewandowski na Ibrahmovic ambao ndio level zake.
Kitu pekee team Cr7 walichobakiza ni kumuita Ronaldo goal machine. Hii hoja nayo muda sio mrefu Messi ataizima. Mwambieni Ronaldo ahakikishe mpaka Messi kastaafu na yeye astaafu ila akijiroga akastaafu kabla ya Messi ni suala la msimu mmoja tu atapitwa kwa magoli na ugoal machine utaishia hapo na jambo hili linamuuiza sana kichwa Ronaldo japo mwili umeshamkataa.
View attachment 2450562
Yote kwa yote all time top 3 G.O.A.Ts:
1. Lionel Messi
2. Pele
3. Maradona
NB:Huyu dogo video yake ilinichekesha sana
View attachment 2450574