Cristiano Ronaldo kama kulinganishwa alinganishwe na akina Lewandowski na Ibrahmovich

Cristiano Ronaldo kama kulinganishwa alinganishwe na akina Lewandowski na Ibrahmovich

Watu wanaongea mambo ya msingi , mnaleta ujinga , jiheshimuni basi , Yani watu wanajadili Messi na Ronaldo unaingiza takataka Ronaldinho, kuweni serious
Hujui lolote kuhusu football na hutakuja kujua. Kwa taarifa yako ukimtoa Messi wachezaji wengine wooote wa sasa ni takataka mbele ya Ronaldinho, labda kama hukuwahi kumuona.
 
Huna lolote we unaleta takwimu ambazo hata mtoto wa chekecha anaweza kukushangaa eti France leauge 1 ndio kitu Gani hicho
Huyu Jamaa bora apumzike tu
20221218_234402.jpg
 
Ata Thomas muller ana kombe la Dunia Mario gotze, ngolo Kante, Cecs Fabregas, David Villa, usipagawe na kombe la Dunia
Unataka nipagawe na nini!!!??? Kwani hiyo Euro Ronaldo alichukua peke yake!!!???
Mafanikio ya juu kabisa kwa mchezaji ni kuchukua World Cup na ndo sababu kiumbe wenu (cr7) alilia kama kuku siku ya kipigo cha Morocco
 
Back
Top Bottom