Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Messi ni goat over ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Argentina ya Lionel messi kuchukua world cup ni upotoshaji??!!!!!! Sawa kombe kachukua PortugalAcheni upotoshaji
Swala la messi kuchukua kombe la dunia si kweli bora uniambie Martinez messi kafanya kupewa kipa ndio kafanya kazi kubwa punguzeni ushabiki maandazArgentina ya Lionel messi kuchukua world cup ni upotoshaji??!!!!!! Sawa kombe kachukua Portugal
Meza maweSwala la messi kuchukua kombe la dunia si kweli bora uniambie Martinez messi kafanya kupewa kipa ndio kafanya kazi kubwa punguzeni ushabiki maandaz
[emoji16][emoji16]Kipa ndio kachukua world cup sio messi. Yeye kafanya kupewa tu
Wewe inaonekana hata Mpira hujui....kombe linabebwa na MTU au timu? Messi yeye sio muargentina? Kanywe oilSwala la messi kuchukua kombe la dunia si kweli bora uniambie Martinez messi kafanya kupewa kipa ndio kafanya kazi kubwa punguzeni ushabiki maandaz
Huyo hajui hata mpira ni kitu gani.......kombe analifananisha na tuzo kwamba anachukua MTU mmoja[emoji16][emoji16]
Yaan punguzeni unafiq basi ni kweli kombe lina bebwa na timu na messi ni muajentina basi walau hata kishingo upande tambueni na mchango wa kipa aliyemchukulia huyo messi wenu kombeWewe inaonekana hata Mpira hujui....kombe linabebwa na MTU au timu? Messi yeye sio muargentina? Kanywe oil
Kwani Huyo kipa ni mVenezuela? Tunapoipongeza argentina kubeba kombe kwanini uone kuwa yeye kawa excluded? Yeye sio muargentina?Yaan punguzeni unafiq basi ni kweli kombe lina bebwa na timu na messi ni muajentina basi walau hata kishingo upande tambueni na mchango wa kipa aliyemchukulia huyo messi wenu kombe
Tatizo mashabiki wa Ronaldo mna kelele sana huwa mnapaniki sana.Pamoja na mafanikio yote ya Messi bado wapenzi wake hawawezi kumweka kwenye nafasi yake bila kwenye vichwa vyao kumfikiria Ronaldo.
Messi kamzidi Ronaldo kwa kila kitu kabla hata ya kombe la dunia, ila kwa sababu mashabiki wake mmemjaza Ronaldo kichwani basi historia inawezakuwa Pele, Maradona, MessiRonaldo.
Mmehamia kwa Mbappe naona haya watakaokua hai huyo Mbappe akifikisha miaka 35+ then akawa bado ancheza kwenye hii peak alionayo sasa hapo tutasema kafanikiwa jama kama hawa kaka zake wawili. Longevity is no easy thing to attain tumeona generational talents kabla ya Mbappe nyingi ila zikafifia kwenye early 30s. Mbappe bado ana safari ndefu ya kuprove hilo sasa hivi ni mapema sana kumfananisha na MessiUjuha mwingine bwana kama Ronaldo angekulia kwenye club ya real Madrid na academy ya Madrid basi hayo magoli yangekuwa mara mbili yake Ronaldo amechelewa kutoka kwenye ramani ya soka kaanza mbali yaani ucheze na iniesta na xavi ufunge goli hizo tena tangu yupo mdogo ongeeni ila mbape ni version ya Ronaldo alipokuwa mdogo.
Nenda kalie nae hizo sababu zako hazina mashiko.Ujuha mwingine bwana kama Ronaldo angekulia kwenye club ya real Madrid na academy ya Madrid basi hayo magoli yangekuwa mara mbili yake Ronaldo amechelewa kutoka kwenye ramani ya soka kaanza mbali yaani ucheze na iniesta na xavi ufunge goli hizo tena tangu yupo mdogo ongeeni ila mbape ni version ya Ronaldo alipokuwa mdogo.
Naona mnamtaja messi tu as if yeye ndio aliokoa michomo ya franceKwani Huyo kipa ni mVenezuela? Tunapoipongeza argentina kubeba kombe kwanini uone kuwa yeye kawa excluded? Yeye sio muargentina?
Kipa alikua peke yake uwanjani mzeeKipa ndio kachukua world cup sio messi. Yeye kafanya kupewa tu
Hakua peke yake lakini ndio aliyemchukulia huyo messi wenu kombeKipa alikua peke yake uwanjani mzee
Acheni unafiki. Sio tumemjaza Ronaldo kichwani. Wakati Ronaldo ndio amechukua Euro kama cheerleader na Messi anakosa penalty copa America huko mlinanga sana Messi na kusema hana mafanikio kimataifa na hafai kufananishwa na akina pele na Maradona kwa kua hana World cup. Leo kampiku huyo Piers Morgan mnageuza manenoPamoja na mafanikio yote ya Messi bado wapenzi wake hawawezi kumweka kwenye nafasi yake bila kwenye vichwa vyao kumfikiria Ronaldo.
Messi kamzidi Ronaldo kwa kila kitu kabla hata ya kombe la dunia, ila kwa sababu mashabiki wake mmemjaza Ronaldo kichwani basi historia inawezakuwa Pele, Maradona, MessiRonaldo.
Hamna anaepinga hilo. Lakini pia bila magoli ya Messi na Di maria hata hayo matuta wasingefika ndio maana ikaitwa team ushindi sio wa mtu mmoja bali team kwa ujumlaHakua peke yake lakini ndio aliyemchukulia huyo messi wenu kombe