Cristiano Ronaldo kama kulinganishwa alinganishwe na akina Lewandowski na Ibrahmovich

Cristiano Ronaldo kama kulinganishwa alinganishwe na akina Lewandowski na Ibrahmovich

Tangu nimeanza kutizama Soka Kwangu Gaucho akifuatiwa na Zidane naona niwatu waajabu sana, Walicho fanya kwenye Soka ni Sanaa ya ajabu sana. Wali utiisha mpira vile watakavyo wao.
Ni kweli mkuu ila kwenye sanaa ya soka muongeze na JJ OKOCHA huyu huyu jamaa ni kwa kuwa aliwahi kustaafu ila nikaangaliaga clip zake huwa naenjoy soka.
 
Hujui lolote kuhusu football na hutakuja kujua. Kwa taarifa yako ukimtoa Messi wachezaji wengine wooote wa sasa ni takataka mbele ya Ronaldinho, labda kama hukuwahi kumuona.
Wewe unayejua ndo unataka kutuaminisha habari za Ronaldinho, we mbona kiazi Sana boss , watu tunatembea na data we unatembea Kwa mahaba , Acha ujinga , hebu leta data za huyo Meno nje tukuletee data hata za Cristiano Ronaldo
 
Kama umefuatilia interviews nyingi alizofanyiwa MESSI akiulizwa ni mchezaji gani aliyekupa hamasa na kukujenga kimchezo huwa anamkiri RONALDINHO.
Unasema kila walipokuwa wakimaliza mazoezi ya pamoja pale Nou Camp, Ronaldinho alikuwa anafanya mazoezi binafsi na Messi kwa masaa mawili peke yao.
Na Gaucho alijifunza mengi kutoka kwa JJ Okocha walipokuwa PSG.
 
Kuna watu imewauma sana Messi kuchukua kombe la dunia
Ukwel ilikuw simpendi Mess lakini siku ile anatupiga Man u goli la kichwa cha adabu hadi kumtetemesha mikono Sir Feg hapo nilianza kumkubali, kiukweli tukiweka ushabiki kando Ronaldo ni mchezaji mzuri ila Mess is Fantastic halafu hana makuu yule bwana.
 
Good morning my neighbors [emoji119]
ac6934d9bf784b57948504923d4468db.jpg
 
Wewe unayejua ndo unataka kutuaminisha habari za Ronaldinho, we mbona kiazi Sana boss , watu tunatembea na data we unatembea Kwa mahaba , Acha ujinga , hebu leta data za huyo Meno nje tukuletee data hata za Cristiano Ronaldo
Ukiwapima kwa namba utamchukulia poa Gaucho ila ukiwapima kwa uwezo wa kuuchezea na kuutawala mpira uwanjani hautamlingamisha Gaucho na yeyote. Kwangu mimi burudani yangu ni kuona namna mchezaji anaufanya mpira umtumikie na si namba za magoli na assist pekee. Endelea kuishi kwa mazoea, ila pamoja na yote poleni sana kwa tukio la jana, najua makasiriko yote haya ni kwa Messi.
 
Wewe ndo unakariri , mnajitia mnajua mpira kumbe hamna lolote , uwezo wa mtu unapimwa Kwa mafanikio anayoyapata Kwa uwezo wake binafsi , sio kukata mauno , kupiga danadana au ball control , hcho ndo mnachomsifia huyo Meno nje hamna kingine cha maana ,
Leta data zake hapa jukwaani tulinganishe , mana zipo mpak idadi ya kanzu , free kick , penalty shoot out , assist , ball control , n.k , zote zipo , leta tulinganishe sio kutushuhudia uongo
 
Back
Top Bottom