Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku izi iniesta na xavi wanachezea Argentina sio?Messi bila Iniesta na Xavi ni Di Maria aliechangamka.
Wameamisha magoli c ronaldo tena?huyo anaesema anamkubali yeye mwenyew anakir kwamba Mess ni moto mwingineAliyecheza msimu mmoja akastaafu😁
Hakuna maajabu aliyofanya zaidi ya mapenati.Siku izi iniesta na xavi wanachezea Argentina sio?
Penalt c ni adhabu ya kinidhamu.uwanjan....au ulitaka ikitokea penalt wqigeuze kuwq kona ili kwako iwe fair play?Hakuna maajabu aliyofanya zaidi ya mapenati.
Wote hao ni bora kuliko penadoAta Thomas muller ana kombe la Dunia Mario gotze, ngolo Kante, Cecs Fabregas, David Villa, usipagawe na kombe la Dunia
CR7 mlikuwa mnamwita Penaldo kisa kufunga magoli ya penati. Kwa Messi mnaona eti Kafanya maajabu kufunga penati.Penalt c ni adhabu ya kinidhamu.uwanjan....au ulitaka ikitokea penalt wqigeuze kuwq kona ili kwako iwe fair play?
Ronaldo ni kama discpline ya mpira imeanza kushuka hadi imefanya kiwango chake nacho kudorora....amekuwq mtu wa kususasusa tu kama Mo wetu wa simbaUkwel ilikuw simpendi Mess lakini siku ile anatupiga Man u goli la kichwa cha adabu hadi kumtetemesha mikono Sir Feg hapo nilianza kumkubali, kiukweli tukiweka ushabiki kando Ronaldo ni mchezaji mzuri ila Mess is Fantastic halafu hana makuu yule bwana.
Hizo ni jokes tu kwenye mpira..ila kiuhalisia wa kususa kwa sasa hiv huwez mlinganisha na Mess..labda tumtamfutie Kibu DCR7 mlikuwa mnamwita Penaldo kisa kufunga magoli ya penati. Kwa Messi mnaona eti Kafanya maajabu kufunga penati.
Ebu kaangalie idadi ya game alizocheza Mess nq hizo za Ronaldo alafu uje usome ulichokiandika hapo kama utajielewaUjuha mwingine bwana kama Ronaldo angekulia kwenye club ya real Madrid na academy ya Madrid basi hayo magoli yangekuwa mara mbili yake Ronaldo amechelewa kutoka kwenye ramani ya soka kaanza mbali yaani ucheze na iniesta na xavi ufunge goli hizo tena tangu yupo mdogo ongeeni ila mbape ni version ya Ronaldo alipokuwa mdogo.
Kwani alikuwa anachezea Morocco au alitoa rushwa kwa wachezaji wa Portugal?Juzi nashangaa ureno wanamlaumu Messi baada ya kufungwa na morocco
Andunje ndio aliwahi kususa timu ya taifa baada ya kuona huko akina Iniesta hawapo. Di Maria ni hatari kuliko Andunje. Pale PSG Mbape ndio mfalme na sio Kwa kubebwa maana hata world cup hili kafumnika Andunje. Andunje bila Iniesta ni Di Maria.Hizo ni jokes tu kwenye mpira..ila kiuhalisia wa kususa kwa sasa hiv huwez mlinganisha na Mess..labda tumtamfutie Kibu D
Huna ulijualo kuhusu mpira..umeanza ushabik kipnd cha mama Samia...huo ufalme unaompa Mbappe unatokana na nini?yaan baada ya huyo Ronaldo kutolewa mmeamua kupachika majina wachezaj wa kawaida tu ili.mridhishe nafsi zenu...nkiendelea ku argue na ww unaeza kuja kumlinganisha Mess na MakamboAndunje ndio aliwahi kususa timu ya taifa baada ya kuona huko akina Iniesta hawapo. Di Maria ni hatari kuliko Andunje. Pale PSG Mbape ndio mfalme na sio Kwa kubebwa maana hata world cup hili kafumnika Andunje. Andunje bila Iniesta ni Di Maria.
Wewe ndio Unashabikia Mpira Kwa kukariri, yaani unashabikia historia. Nimekuambia pale PSG Mbape ndio mfalme yaani mchezaji muhimu zaidi, hilo liko wazi.Huna ulijualo kuhusu mpira..umeanza ushabik kipnd cha mama Samia...huo ufalme unaompa Mbappe unatokana na nini?yaan baada ya huyo Ronaldo kutolewa mmeamua kupachika majina wachezaj wa kawaida tu ili.mridhishe nafsi zenu...nkiendelea ku argue na ww unaeza kuja kumlinganisha Mess na Makambo
Sio wewe ndo umeelewa kiboya? Yule nj mwanasheria na kwa nafasi anayoishikilia anaongea vitu kwa calculation ya holi ya juu kwanza. Bwana Hemed utakuwa hujamuelewaKombe la mwaka huu la kiboya sana yaani rais wa FIFA bila aibu anasema "Lionel Messi must lift the World Cup before he can be considered the greatest player of all time" . Yaani ni kombe la mchongo.
Duu [emoji12]Penalt c ni adhabu ya kinidhamu.uwanjan....au ulitaka ikitokea penalt wqigeuze kuwq kona ili kwako iwe fair play?
Huyu rais inaonekana ana mahaba na messi. Hii ishu hata portugal walizungumzia akina Pepe jaribu kutoa kichwa kwenye mchanga huku nyuma tunakuona. "After what happened yesterday, with Messi talking, all Argentina talking, and the referee comes here to whistle. After what I saw today, they can give the title to Argentina now." haya ni maneno ya Pepe sio yangu.Sio wewe ndo umeelewa kiboya?
Kwahiyo wakabeba ubingwa kwa kumfunga Pepe na wareno wenzie?Huyu rais inaonekana ana mahaba na messi. Hii ishu hata portugal walizungumzia akina Pepe jaribu kutoa kichwa kwenye mchanga huku nyuma tunakuona. "After what happened yesterday, with Messi talking, all Argentina talking, and the referee comes here to whistle. After what I saw today, they can give the title to Argentina now." haya ni maneno ya Pepe sio yangu.