Cristiano Ronaldo kama kulinganishwa alinganishwe na akina Lewandowski na Ibrahmovich

Ukwel ilikuw simpendi Mess lakini siku ile anatupiga Man u goli la kichwa cha adabu hadi kumtetemesha mikono Sir Feg hapo nilianza kumkubali, kiukweli tukiweka ushabiki kando Ronaldo ni mchezaji mzuri ila Mess is Fantastic halafu hana makuu yule bwana.
Ronaldo ni kama discpline ya mpira imeanza kushuka hadi imefanya kiwango chake nacho kudorora....amekuwq mtu wa kususasusa tu kama Mo wetu wa simba
 
CR7 mlikuwa mnamwita Penaldo kisa kufunga magoli ya penati. Kwa Messi mnaona eti Kafanya maajabu kufunga penati.
Hizo ni jokes tu kwenye mpira..ila kiuhalisia wa kususa kwa sasa hiv huwez mlinganisha na Mess..labda tumtamfutie Kibu D
 
Ujuha mwingine bwana kama Ronaldo angekulia kwenye club ya real Madrid na academy ya Madrid basi hayo magoli yangekuwa mara mbili yake Ronaldo amechelewa kutoka kwenye ramani ya soka kaanza mbali yaani ucheze na iniesta na xavi ufunge goli hizo tena tangu yupo mdogo ongeeni ila mbape ni version ya Ronaldo alipokuwa mdogo.
Ebu kaangalie idadi ya game alizocheza Mess nq hizo za Ronaldo alafu uje usome ulichokiandika hapo kama utajielewa
 
Hizo ni jokes tu kwenye mpira..ila kiuhalisia wa kususa kwa sasa hiv huwez mlinganisha na Mess..labda tumtamfutie Kibu D
Andunje ndio aliwahi kususa timu ya taifa baada ya kuona huko akina Iniesta hawapo. Di Maria ni hatari kuliko Andunje. Pale PSG Mbape ndio mfalme na sio Kwa kubebwa maana hata world cup hili kafumnika Andunje. Andunje bila Iniesta ni Di Maria.
 
Huna ulijualo kuhusu mpira..umeanza ushabik kipnd cha mama Samia...huo ufalme unaompa Mbappe unatokana na nini?yaan baada ya huyo Ronaldo kutolewa mmeamua kupachika majina wachezaj wa kawaida tu ili.mridhishe nafsi zenu...nkiendelea ku argue na ww unaeza kuja kumlinganisha Mess na Makambo
 
Wewe ndio Unashabikia Mpira Kwa kukariri, yaani unashabikia historia. Nimekuambia pale PSG Mbape ndio mfalme yaani mchezaji muhimu zaidi, hilo liko wazi.
 
Kombe la mwaka huu la kiboya sana yaani rais wa FIFA bila aibu anasema "Lionel Messi must lift the World Cup before he can be considered the greatest player of all time" . Yaani ni kombe la mchongo.
 
Sio wewe ndo umeelewa kiboya? Yule nj mwanasheria na kwa nafasi anayoishikilia anaongea vitu kwa calculation ya holi ya juu kwanza. Bwana Hemed utakuwa hujamuelewa
 
Sio wewe ndo umeelewa kiboya?
Huyu rais inaonekana ana mahaba na messi. Hii ishu hata portugal walizungumzia akina Pepe jaribu kutoa kichwa kwenye mchanga huku nyuma tunakuona. "After what happened yesterday, with Messi talking, all Argentina talking, and the referee comes here to whistle. After what I saw today, they can give the title to Argentina now." haya ni maneno ya Pepe sio yangu.
 
Kwahiyo wakabeba ubingwa kwa kumfunga Pepe na wareno wenzie?
 
Back
Top Bottom