Cristiano Ronaldo kama kulinganishwa alinganishwe na akina Lewandowski na Ibrahmovich

Uyo Messi kafanya kitu Gani Cha ajabu icho ambacho Ronaldo hajafanya Hadi useme Ronaldo alinganishwe na takataka zako kina lewandoski
Bruh ishu kama ya ballon dor ukiachana na kuongoza magoli na kuchukua vikombe imetawaliwa pia na mapenzi ya watu kwenye kukupigia kura na uwezo wa mchezaji binafsi uwanjan
 
Sijaelewa, kwanini ronaldo anatumia dakika 113 kupata goli wakati messi anatumia dakika 104...halafu ronaldo ndio aitwe goal machine??
Msaada tafazali
Shangaa na wewe mkuu. Huyu Ronaldo akijiroga akastaafu kabla ya Messi huo ugoal machine atusikia kwenye bomba
 
Ulipo muweka Messi juu ya Pele nikadharau kila kitu
 
Uyo Messi kafanya kitu Gani Cha ajabu icho ambacho Ronaldo hajafanya Hadi useme Ronaldo alinganishwe na takataka zako kina lewandoski
Mkuu vitu vingi Messi anamshinda Ronaldo kilichokua kimebakia kilikua ni mafanikio yao kimataifa kitu ambacho Messi amekwishampita Ronaldo kwa kucheza fainali 2 kombe la dunia huyo Ronaldo tofauti na kufunga magoli kitu ambacho Messi anafanya hana tofauti na Lukaku
 
Ndio vitaje vyote tuaze kuchambua kimoja baada ya kingine mim nimeanza cristiano Ronaldo ndio Top score wa champions league history ana jumla ya Goli 141 haya Messi kamzidi nin apo Ronaldo na je Ibrahimovic anaweza kuwa top score wa champions league history Lewandoski anaweza kuwa top score wa champions league history
 
Kipaji halisi cha soka ronaldo kazidiwa sana na messi, ronaldo kaweza kula sahani moja na messi kutokana na jitihada zake binafsi wanasema hard working beat talent ila hao wakina lewandowsk na zlatan ni level za chini sana kuwalinganisha na ronaldo.. vipaji halisi nikivyovishuhudia tangu nianze kufatilia soka 1. Ronaldinho(ingawa alidumu kwa muda mfupi sana), 2. Messi, 3. Ronaldo.. nb: pele na maradona sijawaona wakati wakicheza mpira na ronaldo de lima nimemkuta ndo anaishia miaka ya mwisho ile anaandamwa sana na majeruhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…