Cristiano Ronaldo ni mchezaji hatari zaidi, takwimu hazidanganyi


atachezaje kwa mfano maana ni kwamba timu ya ronaldo inafika fainali mara nyingi kuliko timu ya messi uelewe labda akacheze mchangani huko
 
Lakini Mkae na kujua kua Balloon de or mwaka huu mpaka sasa ni Messi na Salah...

9.0 kwa 8.9 ratio

Mwaka Jana mlimpa ronaldo ballon de or kwa kisingizio et kabeba trophy Messi aliongoza form na magoli

Haya tumekubali so far mwaka huu mnyama projected trophies ni 2 (delay+ laliga) kati ya nne nyumbu wenu 0 kati ya NNE... 6th ballon de or for Messi hakuna mbadala mwaka huu.


Hili linawauma washabiki wengi wa ronaldo
 
Ronaldo ilimchukua mechi 855 kupata goli 600
Messi imemchukua mechi 747 kufikia magoli 600
Mnyama kama kawa kafanaya yake kwenye kombe lake
 
Mashabiki wa Juventus wanasimama na kumpigia makofi ya heshima CR7 alafu kuna mwenzangu niko nae hapa Mbagala Kimbangulile anasema yule jamaa anavizia tu [emoji23][emoji23] hapo ndipo utajua sisi mi-Afrika njaa haipo tumboni tu hadi kwenye ubongo.
 
Hakuna Ubishi Bali Nakubali Kuwa Ronaldo Ni Unstoppable.
Ronaldo ni Mfalme Wa Dunia na Kile Kibushuti Ni Mfalme Wa Barca. Ova

√ Ronaldo ndiye Mfungaji Bora Wa [HASHTAG]#Laliga[/HASHTAG] 2017/18

√ Ronaldo ndiye Mfungaji Bora [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] 2017/18

√ Ronaldo ndiye atakayebeba Ballon d'Or 2017/18

Anayebisha na abishe.
 
Nidhamu pia
Ronaldo ana nidhamu ndani na nje ya uwanja wa mpira.
Messi kachonga tatoo mwili mzima.
Sisi tulio kwenye majeshi ya ulinzi tunajua maana ya tatoo.
Kijana mwenje tatoo ndogo tu hatumwingizi jeshini nikuwa hana nidhamu.
Messi ana kipaji cha mpira.
Ronado ana nidhamu ya mpira
Therefore Ronaldo ni zaidi ya Messi
Full Stop.
 
Huyo Mmoroko hayo magoli 120 kayafunga kwenye mechi ngapi?
Na King goli 101 kazifunga kwenye mechi ngapi?
Kajinyongee, maana huwa hamkawiii! Huyo kimo Cha mbuzi hamuwezi kwa lolote mnyama cr7!
 
Cc PNC 1 nyambafuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…