msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Kitu ambacho kwa wapenzi wa Ronaldo kama wewe huwezi sema kafunga magoli hayo baada ya Mechi ngapi.Mfano Ronaldo kafikisha goli 100 akiwa amecheza mechi 27 zaidi ya Messi.Swali je Messi akicheza hizo mechi 27 alizonazo mkononi zaidi ya mpinzani wake atakuwa na goli ngapi.Huwezi ongea hili,utaingelea wingi wa goli tu lakini huwezi jiuliza kafunga hizo akiwa kacheza mechi ngapi.Pole
atachezaje kwa mfano maana ni kwamba timu ya ronaldo inafika fainali mara nyingi kuliko timu ya messi uelewe labda akacheze mchangani huko