Cross - examination kati ya Lissu na Samuya itakuwa hivi

Cross - examination kati ya Lissu na Samuya itakuwa hivi

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Lissu : Tafadhali shahidi jitambuloshe mbele majaji na mahakama

Samuya : Naitwa Samuya SH

Lissu : Elimu yako ya juu ukipata katika chuo Gani?

Samuya: mie nilisoma sokoine University ( mfano)

Lissu: Kwa Sasa unashikilia nafasi Gani.

Samuya : Ni Rais wa Tz

Lissu: hebu eleza mahakama majukumu ya cheo chako kikatiba

Samuya: kuleta maendeleo, utulivu na amani

Lissu: ndugu Shahidi unanitambua Mimi mshitakiwa Kwa kesi ya uhaini, Kwa majina yangu

Samuya: ndiyo wewe ni Lissu

Lissu: unatambua kuwa Mimi ni mpinzani wako Kisiasa

Samuya : ndiyo

Lissu : Je unaweza kuiambia mahakama, majukumu yangu Kisiasa ni yapi

Samuya : kuikosoa serikali yangu

Lissu : una taarifa zozote kuwa Mimi Nina jeshi na silaha kupindua serikali yako

Samuya : hapana

Lissu : Je kusema kuwa " tutakinukisha" au " tutazuia uchaguzi" ni uhaini.

Samuya : hapana

Lissu : Je uliwahi kukaa na Mimi, kuniuliza, nilimaanisha nini niliposema , " tutakinukisha"

Samuya : hapana

Lissu: ni kitendo Gani cha nguvu nilichofanya hadi ukahisi nataka kupindua serikali yako

Samuya : hakipo

Lissu: una ushahidi Gani kuwa Mimi Lissu nilitaka kupindua serikali yako

Samuya : hapana

Lissu: uliwahi kunisikia Mimi nikimiliki jeshi au kikundi chochote cha uasi

Samuya : hapana

Lissu: uliwahi kunisikia nikiwahimiza wananchi kushambulia police au vyombo vya dola

Samuya : hapana

Lissu: ni mtu Gani niliyempa fedha au silaha Kwa ajili ya kuzuia uchaguzi na kupindua serikali

Samuya: sijui

Lissu: Kuna taarifa yoyote uliyonayo kuwa nilitaka kutumia jeshi kupindua serikali yako

Samuya : Sina

Lissu: wewe kama amri jeshi mkuu, thibisha uhaini wangu Kwa serikali yako

Samuya: wewe sio haini
 
Back
Top Bottom