Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
RS6 moto wake hatari kabisaaa πππAudi huo moto wa Rs4 acha kabisa
Unawauliza maswali magumu, wakirudi uni tagNipe sababu kwanini 320i inachanganya taratibu kuliko Athlete... .
akikujibu uni tag, watu tuna vigari viduchu tunatoana jasho na m V8I think wewe unazungumzia 316i au 318i.
Ila 320i mmmmmh labda kama ni kimeo.
Kuwa Cylinder nne has nothing to do acceleration,
Unataka kutuaminisha kwamba hiyo Athlete ya 2GR-FSE inamkalisha Golf GTI mwenye Cc2000?
Kweli kabisa huu uzi wajerumani hawautaki kabisa [emoji16]
Sio mbaliCrown sukari y warembo, mwakani navuta mke crown
Audi zikishaanza S series tayari upo daraja la peke ako. Ukaingia tena na RS, wewe ni untouchable.Huyu yukimpa RS4 atabaki anajamba jamba ana muona mwanaumee yuleee [emoji3][emoji3][emoji3]
A series za kupambana na Crwon ni A4 kavu au A3 kavu.. ukisogea A6 na juu ya hapo basi Crown hana chake πππ.. mie na kia Audi changu cha A4 1.8T Quattro.. huwa ni kushikana shati hadi washangae πππAudi zikishaanza S series tayari upo daraja la peke ako. Ukaingia tena na RS, wewe ni untouchable.
A series zinawatoa jasho hizo Crowns hujaanza S au RS.
Mfumo wa gear box ya BMW ni tofauti na athletes Acha kabisa kuhusu hiyo gari nduguuu!!!
Athletes kama zingekuwa na mfumo CVT transmission hapo ningeheshimu dhidi ya BMW
Au hii mashineWakija watu wenye BMW 3 series kuanzia 320i kwenda juu... Au gari yoyote ya mjerumani kuanzia Cc2000...
Mtatamani kuufuta huu uzi mfichame....
Hahahahahah vita ya hawa watu huwa inaniacha hoiSikujua kama "Wajapani" & "Wajerumani" ni mahasimu hivi [emoji1787]
Bei yake ikoje mkuu?Hatari 320i hi chuma naipenda sana
Mkuu hiki chuma cha jerumani bei yake ikoje?Mfumo wa BMW 320i wa gear box ni STEPTRONIC TRANSMISSION hii ni dual clutch Acha kabisaaa hiii mashine.
Sikuzote nguvu ya gear box inamata Sana Kwenye mwendo.
Pia yenyewe ina sports mode na pedal shifters yaani hapa ni hakuna cha athletes,mark X wala brevis.
Hata comfortability wajerumani ndiyo mambo Yao yaani full Raha Tu huku unachanja mbuga Tu mjerumani
Wajapani na wajerumani wa JF [emoji23][emoji23]Sikujua kama "Wajapani" & "Wajerumani" ni mahasimu hivi [emoji1787]
Bei zake za kawaida Sana kuanzia milion 15 unapata be forwardMkuu hiki chuma cha jerumani bei yake ikoje?
Subirini uzi wenu unaandaliwa!!Na sisi wenye nissan Juke tunareplay wapi?
14M mpaka unaipata mkononi usajili na vibari no bima hapoBei yake ikoje mkuu?
15 iyo ya juu yake 5 Series...Bei zake za kawaida Sana kuanzia milion 15 unapata be forward