Crown ni kama pisi kali

Crown ni kama pisi kali

Audi zikishaanza S series tayari upo daraja la peke ako. Ukaingia tena na RS, wewe ni untouchable.

A series zinawatoa jasho hizo Crowns hujaanza S au RS.
A series za kupambana na Crwon ni A4 kavu au A3 kavu.. ukisogea A6 na juu ya hapo basi Crown hana chake 😀😀😀.. mie na kia Audi changu cha A4 1.8T Quattro.. huwa ni kushikana shati hadi washangae 😀😀😀
 
Wakija watu wenye BMW 3 series kuanzia 320i kwenda juu... Au gari yoyote ya mjerumani kuanzia Cc2000...

Mtatamani kuufuta huu uzi mfichame....
Au hii mashine
FB_IMG_1634934775076.jpg
 
Mfumo wa BMW 320i wa gear box ni STEPTRONIC TRANSMISSION hii ni dual clutch Acha kabisaaa hiii mashine.
Sikuzote nguvu ya gear box inamata Sana Kwenye mwendo.
Pia yenyewe ina sports mode na pedal shifters yaani hapa ni hakuna cha athletes,mark X wala brevis.
Hata comfortability wajerumani ndiyo mambo Yao yaani full Raha Tu huku unachanja mbuga Tu mjerumani
Mkuu hiki chuma cha jerumani bei yake ikoje?
 
Back
Top Bottom