anything can perish away if killed..kwani hao wanyama na kuku wa kizungu unaokula ukiwachinja hawafi..?? au logic ya swali ni ipi.??
mkuu,consciousness inakuwa processed na nini kama sio mind......?? unaelewa lakini...mind inaweza kuwa conscious au subconscious au semi-conscious depending na mazjngira mwili ulipo......
huwezi ukawa hai if at all consciousnes haipo katika mind....ukifanya total mind apload tayari unakuwa umehamisha ufahamu( consciousness)...that's why unapoinduce microchip kwa ajili ya kuwa inahack awareness unaweza ukaisoma na kuihamisha kwa system.
Watu wameshafika mbali mkuu,sema mambo mengi yapo closed
au sio ....hakuna swali kama hilo kwa anayejua neuralscience. vizuri eti how neurogenesisi brings about memory loss ..daaah mpaka nimekuonea huruma mkuu.....umeshindwa kutoa maelezo yako. kama niliyoyatoa .. ..tueleze pathophysiology ya neurogenesis kusababisha memory loss nahis unachanganya mafolder kichwani..unajua maaana ya neurogenesi kweli wew...??neurogenesis means ni replacement ya cell zilizokufa kwenye ubongo...sasa tupe mechanism hiyo cell mpya ziwe zinasababisha memory loss....we jamaaa kiazi sana..toa maelezo mi napiga kambi hapa[emoji23][emoji23] nina akili timamu kukuuliza hili swali na ninaomba jibu au una limitation ya knowledge mkuu?
sasa clone maanake nini..?? hueleweki..Logic ya swali inatokana na nadharia uliyoilezea ya clone, sasa hao wanyama na viumbe wengine uliowataja ni clone?
au sio ....hakuna swali kama hilo kwa anayejua neuralscience. vizuri eti how neurogenesisi brings about memory loss ..daaah mpaka nimekuonea huruma mkuu.....umeshindwa kutoa maelezo yako. kama niliyoyatoa .. ..tueleze pathophysiology ya neurogenesis kusababisha memory loss nahis unachanganya mafolder kichwani..unajua maaana ya neurogenesi kweli wew...??neurogenesis means ni replacement ya cell zilizokufa kwenye ubongo...sasa tupe mechanism hiyo cell mpya ziwe zinasababisha memory loss....we jamaaa kiazi sana..toa maelezo mi napiga kambi hapa
sasa clone maanake nini..?? hueleweki..
Mkuu kasome vizuri kinachomfanya mwanadamu awe hai ni nini...tatizo mnachanganyana na hayo maneno yenu ya roho,nafsi sijui mwili .Ila kama unaweza soma btn the line utaelewa nini namanisha kuhusu ufahamu ...kinachokufanya uwepo hapa duniani ni consciousness( ufahamu.) ukipoteza ufahanu unakuwa kwenye other realm of life...ufahamu unakuwa kwenye mind ....consciousness ndo inayokufanya ujitambue ulipo ...Acha nifupishe maelezo kwa kukuomba ufafanue hii kauli..
"...mind ndo uhai wa kiumbe yoyote...hivyo ukiweza kuhamisha mind tayari umehamisha ufahamu ( consciousness ) yake...na ufahamu ndo maisha halisi ya mtu husika..."
Mkuu kasome vizuri kinachomfanya mwanadamu awe hai ni nini...tatizo mnachanganyana na hayo maneno yenu ya roho,nafsi sijui mwili .Ila kama unaweza soma btn the line utaelewa nini namanisha kuhusu ufahamu ...kinachokufanya uwepo hapa duniani ni consciousness( ufahamu.) ukipoteza ufahanu unakuwa kwenye other realm of life...ufahamu unakuwa kwenye mind ....consciousness ndo inayokufanya ujitambue ulipo ...
clone anakufa kama anavyokufa mother donor...labda point yenuni ipi make naona bado mnataka kujua kama clone ni kiumbe au sio...what is death by the way..? have a nice everning mkuuUlisema walifanya clone ya Michael Jackson, mdau akakuuliza inamaana huyo mtu zao la clone hafi?
Ukajibu kwamba kuku wa kizungu na wanyama wanakufa, sijui kama unaelewa kwanini aliuliza hilo swali.
Narudia tena, hicho kinachotengenezwa kutokana na clone kinakufa au hakifi?
Ni kipi hakijaeleweka hapo?
clone anakufa kama anavyokufa mother donor...labda point yenuni ipi make naona bado mnataka kujua kama clone ni kiumbe au sio...what is death by the way..? have a nice everning mkuu
[emoji23][emoji23] TRIGGERED? Asa kelele nyingi za nini mkuu? Na wewe unaweza jiita umesoma neuro science na unashindwa simple concepts kama hizo?
na hapo ndo unapojichanganya...unataka kusema ufahamu upo wapi sasa mkuu...?? kinachodrive life ya. kiumbe ni nini mkuu ...isnt consciosness and soul....? soul au nafsi ina part yake katika kubeba uhai wa mtu,hali kadhalika mind ina beba ufahamu juu ya mtu. anapaswa kusurvuve....labda ukizungumzia mambo ya spiritual. nature ndo utasema kuwa uhai unakuwa processed na soul ( nafsi)Kifo ni kutoweka kwa uhai. Mzozo umeanzia hapo uliposema "...mind ndio uhai wa kila kiumbe..."
Ikiwa clone anakufa, na mind ndio uhai wa kila kiumbe huku umeelezea maendeleo ya teknolojia ya chip yanavyoshughulika na mindi, UHAI sio MIND pekee.
Uwe na jioni njema pia.
wala sijasema@lifecoded kasoma neurascience ila kuhusu nueroscience hawezi pigwa tango pori...kuna mengi hayajui ila concept za kawaida ni za kukemea.....lifecoded anaweza kuwa kweli kasoma vizuri sana neuro science ila kumbuka kusoma, kuelewa kisha kuelezea jambo ulilosoma ni kitu tofauti kabisa.
Yaaap, ndo mana tunapokutana kwenye forums kama hizi tuna share mawazo na kujengana pale inapobidi ndio kuchangia mada,lifecoded anaweza kuwa kweli kasoma vizuri sana neuro science ila kumbuka kusoma, kuelewa kisha kuelezea jambo ulilosoma ni kitu tofauti kabisa.
wala sijasema @lifecoded kasoma neurascience ila kuhusu nueroscience hawezi pigwa tango pori...kuna mengi hayajui ila concept za kawaida ni za kukemea.....
shida inakuja pale anapokuja kwa kasi kupinga kitu huku akiwa hana maelezo mbadala..there is no knowing in totality but we share the likelihood concept ......the problem is hatutaki kufree what our mind knows but tunajiaminisha kuwa unachokifahamundo kweli lakini tunashindwa kujua kuwa we are surounded by illusion ambayo inablackmind consciouness yetu...Mkuu nilikua najibu niliyemnukuu, ndio maana nikasema huenda. Sasa ikiwa vitu vidogo na vya kawaida vinaanza kuleta shida, mambo ya mind upload kwenye chip tutaelewana kweli?
Hizi nadharia zote bado zipo kwenye majaribio, zinabaki kuwa nadharia hadi itakapothibitishwa vinginevyo.
na hapo ndo unapojichanganya...unataka kusema ufahamu upo wapi sasa mkuu...?? kinachodrive life ya. kiumbe ni nini mkuu ...isnt consciosness and soul....? soul au nafsi ina part yake katika kubeba uhai wa mtu,hali kadhalika mind ina beba ufahamu juu ya mtu. anapaswa kusurvuve....labda ukizungumzia mambo ya spiritual. nature ndo utasema kuwa uhai unakuwa processed na soul ( nafsi)
but scientifically tunasema kuwa consciousness habours everything.....thats why we survive under different planes of reality depending with our conscious awareness...the more you posses high conscious awareness, the more unakuwa kwenye plane za juu za kuishi means unasurvive katika higher level of reality and true nature of life...
Bado somo la consciousness ni gumu kwa wengi....tunadanganywa. sana kuhusu true nature of life kuwa ni spirit sijui ni soul...but you will never ascend into higher level of life if your mind posseses low. consciousness....ukijua role of consciousness katika kumfanya mtu afikie maisha ya juu katika reality ni consciousness..
..........kila mtu aamini anachojua kutokana na ufahamu wako duniaji. tupo kwenye kifungo cha ufahamu and nothing else..
ili kuendelea kusavaivu kwenye hii game ni lazima upate. ufahamu uliosahihi kwanini upo hapa na lengo ni lipi....this is the matrix game of reality..only consciousness will decide your destination.
Mind apload ndo habari ya muuujiniiii kwa wenye pesa..
Unawekewa kifaa cha kuwa kinahifadhi kumbukumbu zako na pindi unapokufa tunakitoa kisha tunamuwekea clone wako kisha unakuwa wewe...
Hakutakuwa na utofauti na original (ulivyokuwa )kwani uhalisia wa mtu ni ufahamu halisi.
shida inakuja pale anapokuja kwa kasi kupinga kitu huku akiwa hana maelezo mbadala..there is no knowing in totality but we share the likelihood concept ......the problem is hatutaki kufree what our mind knows but tunajiaminisha kuwa unachokifahamundo kweli lakini tunashindwa kujua kuwa we are surounded by illusion ambayo inablackmind consciouness yetu...
The true purpose of humanity is to ascend in consciousness ili kupita katika reality za juu..haya mengine ni illusion tu .Yani kama mtu yupo. tu kuwa yupo aishi halafu afe bila kujua umuhimu wa kuraise consciousness he( she) might be wrong....
Kwa maana hiyo kama hujaridhika na vile ulivyo unaweza ukaorder artificial human body of your choice, unajiua then process hiyo uliyosema inafanyika unarudishiwa uhai. Hii naona pia itawafaa wale wanaotamani kuwa jinsia nyingine. [emoji3][emoji3] mawazo ya usikuMind apload ndo habari ya muuujiniiii kwa wenye pesa..
Unawekewa kifaa cha kuwa kinahifadhi kumbukumbu zako na pindi unapokufa tunakitoa kisha tunamuwekea clone wako kisha unakuwa wewe...
Hakutakuwa na utofauti na original (ulivyokuwa )kwani uhalisia wa mtu ni ufahamu halisi.View attachment 1047503