Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Bidhaa ni sarafu. Kama unavyonunua dollar kwa kutumia tsh basi ndivyo hvo mtu alinunua Luna coin kwa kutumia tsh.Naomba kuuliza swali wataalam wa ma cyrpto currency.
1. Kwenye hii biashara, bidhaa ni nini?
2. Risk Mitigation ikoje kwenye hii biashara?, since haiko regulated?
3. Kila mtu akiamua ku convert fedha zake back to USD, faida itatokea wapi kwa wale watakaopaswa kulipwa faida kwa bei ya kipindi hicho?
4. Kwa nini hii sio scam or pyramid scheme?
I thought that way but naona ni unfair comparison kwa sababu USD iko backed up na US Central Bank while hizo zingine hazina guarantee. So I don't think ni fair comparison. Kama reasoning yangu ni sawa, then swali bado linasimama. Na kama siko sahihi, nasimama kukubali kurekebishwa!1. Bidhaa ni sarafu. Kama unavyonunua dollar kwa kutumia tsh basi ndivyo hvo mtu alinunua Luna coin kwa kutumia tsh.
Kama nimeelewa ni sort ya kamari, unabahatisha kwa kuangalia trend na vitu kama hivyo. Kama niko sahihi, tofauti yake na kucheza kamari kama betting ni ipi?2. Risk mitigation ni kwa wanaoifanya hii bizness kitaalam. Inshort ni buy low sell high au reverse kwa shortselling. So kabla ya kuamua kununua unaangalia kama sarafu mtandao(crypto) unayonunua ina potential ya kuongezeka value. Kucontrol risk ni ile namna unajipanga kwamba uiuze ikifika value ipi incase isipo ongezeka value, yaan ikashuka. Ni kama stop loss na take profit
Naelewa kwamba hilo haliwezekani kutokea kwa pamoja, ila lengo ni kujua kama ni pyramid scheme ama la. Kwenye biashara product ndio inatunza thamani ya kitu. Mfano nikiwa na maembe watu wakawekeza, ikifikia kipindi cha kuwarudishia pesa zao tutahesabu maembe na kuwapa wakauze wajilipe au tutawapa maembe wakale na familia. Sasa kwa sababu CC zinanunuliwa kwa dollar, wakitakiwa kum refund kila mtu inawezekana au kuna watakaoondoka mikono mitupu kwa sababu hela zao wamelipwa wengine?3. Watu wakisell crypto zote ofcoz crypto zitakua worthless coz value zao zinaongozwa na sheria ya supply and demand. LAKINI hio haiwezekani mkuu, the only currency kwenye dark web ni hz crypto. So theoretically kuuzwa ni sawa ila practically ni ngumu. Kuna mda itatokea tu watu wengi(japo sio wote) wakaziuza na hio imetokea now coz crypto karibia zote zimeshuka thamani kiasi kikubwa lkn complete sell off ni ngumu kutokea.
Hisa ni government sanctioned kind of scam. Sema yenyewe at least kuna kampuni unanunua hisa na zinaeleweka. Ila kuna kuumia kwingi huko pia!4. kama umenielewa basi utaona crypto ni financial instrument kama vle stock. The earlier you buy, the lower quote you get. hapo ndo panakuchanganya ukadhani ni pyramid scheme. If crypto is scam then NYSE & NASDAQ nazo ni scam coz zinapokea IPOs za Crypto exchanges.
Komaa usipitishe hata dakika moja. Inaweza kuja kuwa na hela nzuri usije ukajilaumu.Poa mkuu maana nafanya ile mining yao tangu waanze jadi sasa ninazo kadhaa, nakomaa nao hadi July
Kweli kabisa MkuuKomaa usipitishe hata dakika moja. Inaweza kuja kuwa na hela nzuri usije ukajilaumu.
Mkuu ukipata muda ingia hapa www.teachyourselfcrypto.com its free knowledge is power!I thought that way but naona ni unfair comparison kwa sababu USD iko backed up na US Central Bank while hizo zingine hazina guarantee. So I don't think ni fair comparison. Kama reasoning yangu ni sawa, then swali bado linasimama. Na kama siko sahihi, nasimama kukubali kurekebishwa!
Kama nimeelewa ni sort ya kamari, unabahatisha kwa kuangalia trend na vitu kama hivyo. Kama niko sahihi, tofauti yake na kucheza kamari kama betting ni ipi?
Naelewa kwamba hilo haliwezekani kutokea kwa pamoja, ila lengo ni kujua kama ni pyramid scheme ama la. Kwenye biashara product ndio inatunza thamani ya kitu. Mfano nikiwa na maembe watu wakawekeza, ikifikia kipindi cha kuwarudishia pesa zao tutahesabu maembe na kuwapa wakauze wajilipe au tutawapa maembe wakale na familia. Sasa kwa sababu CC zinanunuliwa kwa dollar, wakitakiwa kum refund kila mtu inawezekana au kuna watakaoondoka mikono mitupu kwa sababu hela zao wamelipwa wengine?
Hisa ni government sanctioned kind of scam. Sema yenyewe at least kuna kampuni unanunua hisa na zinaeleweka. Ila kuna kuumia kwingi huko pia!
Nashukuru kwa majibu yako, kuna vitu nimejifunza. Ila ukiweza ku comment on followup comments zangu nitashukuru!
Mkuu hawa ndio wanatuhumiwa kuiletea majanga hii coinNaona umeandika as if kila aliye nunua hiyo coin hakua mtaalam! Je Kuna watu kutoka kampuni ya blackrock walinunua hii je nao sio investors wataalamu?
Unfortunately kwa sasa sina muda, umebana sana. Nitajifunza kwa wanaojua tu!Mkuu ukipata muda ingia hapa www.teachyourselfcrypto.com its free knowledge is power!
Programmer gani wewe wa ajabu unakua eti huna muda wa kujifunza!!Unfortunately kwa sasa sina muda, umebana sana. Nitajifunza kwa wanaojua tu!
Ni programmer wa ajabu ajabu mie...!Programmer gani wewe wa ajabu unakua eti huna muda wa kujifunza!!
Yaani ndio kusema umesharidhika kabisaaa na hiyo level of knowledge ulionayo sasa!
Yaani ushaamua utakufa na Laravel, Flute, Django library pamoja na MongoDB! Vingine vipite kuleee!
Learning is a continuous process.
Wanaojua ndio hao wametengeneza hiyo website. Humu utaingizwa Chaka tu.Unfortunately kwa sasa sina muda, umebana sana. Nitajifunza kwa wanaojua tu!
Hata mie ninashangaa sana yaani,Programmer gani wewe wa ajabu unakua eti huna muda wa kujifunza!!
Yaani ndio kusema umesharidhika kabisaaa na hiyo level of knowledge ulionayo sasa!
Yaani ushaamua utakufa na Laravel, Flute, Django library pamoja na MongoDB! Vingine vipite kuleee!
Learning is a continuous process.
Japo kuna vitu vinaitwa stable coins hzo ndo utakuta ziko backed up na assets kama vle gold au real dollar. Mfano kuna tether ambayo value yake inamatch na 1 dollar. So provider wa hio coin wako na dollar reserve plus dollar backed assets ili kuipa backup tetherI thought that way but naona ni unfair comparison kwa sababu USD iko backed up na US Central Bank while hizo zingine hazina guarantee. So I don't think ni fair comparison. Kama reasoning yangu ni sawa, then swali bado linasimama. Na kama siko sahihi, nasimama kukubali kurekebishwa!
Unategemea kukusanya RENEC ngapi hadi July? Kuna zawadi sasa hivi zinatolewa na Remitano kwa Watz mtu akijiunga kwa refferal code yako anapata USDT 4 na wewe unapata moja. Je ulishalisikia hilo?Kweli kabisa Mkuu
Haya mambo ya pegging ndiyo bwana George Soros aliwafanya mbaya Uingereza na Pound yao. Haiwezekani na huku siku moja watu wakalazwa na viatu?Japo kuna vitu vinaitwa stable coins hzo ndo utakuta ziko backed up na assets kama vle gold au real dollar. Mfano kuna tether ambayo value yake inamatch na 1 dollar. So provider wa hio coin wako na dollar reserve plus dollar backed assets ili kuipa backup tether
AiseeUnategemea kukusanya RENEC ngapi hadi July? Kuna zawadi sasa hivi zinatolewa na Remitano kwa Watz mtu akijiunga kwa refferal code yako anapata USDT 4 na wewe unapata moja. Je ulishalisikia hilo?
Safi elimu nzur umewapatia.Hello bosses kwanza kabisa naomba mods msiedit heading ya huu uzi.
Kumekuwa na wimbi la watu kutoheshimu professions za wengine na hili linabackfire mdg mdg.
Watu wengi siku hz wanadhan kila mtu anaweza kuwa investor wakiongozwa na kaka yao fln kule twitter lkn niwaambieni tu hio ni profession kama profession nyingine na inabidi uisomee ili usijeukakutana na majanga yalowapata wale investors wa hii Luna coin.
Kwanza ntaelezea kwa nn watu walidanganya na wakadanganyika. Kwenye crypto hizi coins bei yake inabadilikabadilika sana so wengi huogopa kuinvest. Sasa akatokea jamaa mmoja anajiita somebody 'Kwon' raia wa korea na muhitimu wa Stanford akabuni coin moja ambayo ilikua pegged kwenye 'stable coin' fln inaitwa UST (Terra USD).
Subiri, najua unaweza kujiuliza stable coin ni nn. Stable coin ni coin ambayo iko in sync na asset au currency ambayo haibadiliki sana value yake (less volatile asset/currency) hivyo kufanya hio coin kuwa stable. Stable coin nyingi zinakua pegged kwenye usd kwa mfano (hadi wiki ilopita) 1UST ilikua ni sawa na 1 USD ($ dollar). So hio inamaanisha value ya hio TerraUSD ni inakua sawa na value ya Dollar. Mfano mwngine wa stable coin maarufu ni Tether (USDT) hii ipo kwenye blockchain ya etherium.
Sasa huyu Kwon akatengeneza coin hii inaitwa Luna ambayo sio stable coin lkn akaipeg na Stable coin hio ya TerraUSD (UST).
So watu wengi wanaojiita investor wa crypto wakaona Luna Coin ni deal coz iko pegged kwenye stable coin(bila kujua how hio UST inavyopata stability yake). So wakanunua na coin ilifika mbali sana last week value ya coin moja ya luna ilikua ni $85.
Kumbe haya mambo yanahitaji utaalam na investors wakurupukaji hawakujua hilo.
Iko hv, nmesema stable coin zinakua pegged na less-volatile assets, so wengi hutumia USD DOLLAR. Mfano value ya USDT inachezea kwenye 1 dollar, na value ya UST (TerraUsd) ilikua inachezea humohumo. Tofauti ni kwamba USDT inatumia Real Dollar Reserve, lkn hii UST inatumia virtual au tuuite 'Algorithmic dollar'. Yaan huyu Kwon alitengeneza mechanism fln kwenye program yake ambayo inatumia bitcoin reserve ili kumantain value ya UST (stable coin anayotumia kubackup Luna).
Sasa kwa wachache walolifahamu hilo walijua kwamba aidha wasiinvest kwenye Luna coz stablecoin yake UST haitumii real Dollar kama zilivyo Tether (USDT) na stable coin nyngne Au watumie strategy kwamba bitcoin ikianza kushuka kwa kasi basi ni muda kwa kuuza Luna coz behind the scenes Luna inategemea Bitcoin.
Lakini wale wanaojidai kujua kila kitu waliposikia Luna iko pegged kwenye stablecoin UST moja kwa moja waka-buy.
So kilichotokea ni kwamba kama ulikua na Luna 1000 last week ungeweza nunua Range mpya ya 2021 na ukabakiza chenji ya kutosha tu ila kama bado unazo leo hii basi hazina tofauti na trash coz hata IST used choka mbaya kutoka japan haupati.
Note::Kuna wanaojipa moyo kuwa Luna itaregain value yake lkn ni kitu ambacho haiwezekani coz madudu yake yashawekwa wazi na issue ya kutumia virtual dollar imewakatisha tamaa sana waloamini Luna coin. Na isitoshe hapa nnavyoongea huyo Kwon 'Aloanzisha Luna' alikua anaomba msaada polisi coz watu walivamia nyumba yake juzi na jana wakimshutumu kuwadanganya khs coin alotengeneza.
Ukipewa ushauri khs kuinvest na mtu fln kuwa makini sana coz kasoma summary ya kitabu thn akatengeneza summary yake ndo akatumia hio summary yake kukyshauri
~Peace
Kali Linux