Crypto na ahadi ambayo haijatimia

Gazeti reeefu lkn halina maana hapo unazungumzia brokerage companies kufilisika sio cryptocurrency kufilisika. miaka ya 2011 bitcoin ungeuza kwa USD5 leo hii bitcoin moja unauza kwa USD22000.
 
Hakuna anayeweza kuimiliki wala kuicontrol , kwaiyo imeanzishwa na nani yaani mtu aanzishe kitu alafu asiweze kukicontrol broo uko serious kweli au unachekesha yaanai leo hii nivumbue kitu alafu nisiwe na udhibiti nacho emu kuwa serious kidogo boss wangu!!
 
Mkuu; pamoja na njia zingine za kufanya utafiti, ungeweza hata ku-google tu ukajua alieanzisha ni nani na kwanini hawezi ku-control 😃. Labda kama unataka lazima ufafanuzi wake niutoe hapa.
 
Gazeti reeefu lkn halina maana hapo unazungumzia brokerage companies kufilisika sio cryptocurrency kufilisika. miaka ya 2011 bitcoin ungeuza kwa USD5 leo hii bitcoin moja unauza kwa USD22000.
Pole; Jibu lako linaonesha hujaelewa kilichoongelewa, badala yake umeelewa sehemu moja tu - ya kuhusu "Crpto Banks" tu 😄.

Kwa kifupi - Bitcoin haikuanzishwa ili watu wainunue na kuiuza, Bitcoin haikuvumbuliwa ili iwe "investment asset" kama ambavyo wewe unasema kuwa ungenunua $5 na leo ungeuza $22,000. Na hii ya kununua na kuuza ndo imeingiza matapeli wengi kwenye crypto a.k.a Brokerage companies. Andiko la Satoshi mwenyewe linaeleza kwa undani dhumuni la yeye/wao kuanzisha Bitcoin/blockchain.
 
Hii sio biashara ni kamali kupata au kukosa
Kama ambavyo ukipanda mahindi shambani, unatarajia mvua inyeshe (Na inaweza isinyeshe), yaote - yakue vizuri, uvune kiasi cha kutosha, uuze, upate kipato (Ambapo unaweza kula hasara) au ukipanda chombo cha usafiri (Mfano boda boda) kutoka sehemu moja kwenda nyingine - unatarajia ufike (Bila kujua kama dereva aliyekubeba ana ujuzi wa kutosha au bado 'learner', ambapo unaweza ukafika unakoenda au ukafa njiani kwa ajali.

Ukamari wa kitu kwenye maisha ni 'relative term', kila mmoja ana tafsiri yake. Infact, maisha kwa ujumla wake ni kamari, lakini haitufanyi tuogope kuishi japo hatujui kesho itakuwaje.
 
Kamanda nimekuelewa sana tu..
 
Nimekusoma Mzee...coin gani kwa sasa tununue labda itatutoa mbele ya safari maana maisha yenyewe kamali tu..japo matapeli wamejaa mpaka sielewi ipi niiamini
 
Luna.
Ape.
Axie infinity.
Avalanche.
Solana.
Fil.
Icp.
Cake.
Nunua kati ya izo
Shiba inu vipi kaka unaionaje maana iko chini sana kwa sasa labda ukinunua ukahold for years inaweza kukupa mzigo wa hatari
 
Shiba inu vipi kaka unaionaje maana iko chini sana kwa sasa labda ukinunua ukahold for years inaweza kukupa mzigo wa hatari
Ingekua vzr uinunulie kwenye 0.0000077-0.0000080 kama itashuka apo ila ni mpak BTC ashuke uzuri coin nying zipo chini xa hv so nunua ty
 
Yah sahihi mkuu,lwngo la satoshi ni kwamba bitcoin iwe kama hizi pesa za kawaida tufanye miamala mbalimbali bila kodi kubwa na makato makubwa wala mtu kati,pia kuwe na uharaka wa muamala kutoka sehemu moja kwenda ingine.

Lakini sasa hivi bitcoin sio fedha ya kimtandao bali ni bidhaa maana watu huinunua na kinachonunuliwa ni bidha na sio pesa.

Leo huwezi kusema naenda dukani kununua alfu kumi,kwa sababu pesa sio bidhaa hivyo kwa sasa tukisema bitcoin nni fedha ya kimtandao sio sawa.

japokuwa watu wanapiga pesa kupitia trading(na wengine kupoteza)so cha muhimu ni kwenda na mdundo maadamu pesa inapatikana huko bila kuua mtu wala kudhulumu maana kila mtu anaingia kwa hiyari yake.

now kuna exchange mbalimbali ambazo mtu unaweza fanya trading kama ile ya kwenye forex na ukapata pesa ama UKAPOTEZA pia.

So naungana na wewe kwamba now crypto inavyofanywa ni beyond its goals,japokuwa malengo pia yamefikiwa kwa kiwango fulani
 
Yes! Wewe sasa ndo tumeelewana vizuri. Asante sana.
 
M
Mkuu, do you trade forex na crypto!!?
 
Mkuu technology iache. Ukiachana na bitcoin, ushawahi kusikia kisa cha mtandao wa piratebay ambao wahusika walishitakiwa kwa kosa la kusambaza kazi za waty bila hatimiliki na kuinhiza mamilioni ya hasara.
Lakini mpaka leo hata baada ya wahusika kufungwa wakaachana nao wakafunga servers zake piratebay imeendelea kusurvive na fbi waliamua waachane nayo maana ilikuwa ukifunga huu ndaninya siku moja ushapanda mwingine exactly kama huo huo hata mwanzilishi hakuwa na control na hilo.
Kuwezekana inawezekana mbona end to end encryption inamzuia hata aliyetengeneza kuweza kuona kilichomo kwenye kitu kilichotumwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…