Crypto na ahadi ambayo haijatimia

Crypto na shemeji zake ilishaongelewa na hata wakuu wa nchi walio mapumzikoni kuwa ni biashara nzuri. Hata ma CEO maarufu waliwahi kupiga panda mitandaoni kuwahimiza wengine wengi kuwekeza humo. Kumbe siyo crypto, ni DECI ilochangamka. TUJIHADHARI sana wananchi.
 
Cheap narrative
 
Follow the cycles

View: https://www.tradingview.com/chart/BTCUSD/eUuEQBXT-Bitcoin-4-years-cycle-on-time/
 
Unajisikiaje huko uliko ukiona bitcoins moja Umefikia Dola 93,000. Na inaelekea ndani ya week hii bitcoins inaenda kugonga $100,000 nadhani wakati unazungumza hii mada bitcoins ilikuwa ina thamani ya Dola 33,000. Je kama wakati huo mwaka Jana ingekuwa na uwezo Tu Wa Kununua bitcoins moja week hii ingekuwa unavuna faida ya $77,000 zaidi ya milioni 215,600,000/= kwa mwaka mmj Tu. Majuto ni Mjukuu.
 
Hela hizo unazitolea wap ukitaka kuzichukua
 
Aise uko vzr brother the way Una flow unaona kabisa huyu bwana yuko very emotional stable. Jina lako kweli unalitendea kazi. Much Respect
 
Kwahiyo cryptocurrency Haina madhara kwa anaeitumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…