Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Status
Not open for further replies.
Hata Shiba inu ya wakati huo ( Dec 2020) ungenunua kwa hela uloweka apo.. ungekua mbali sana sasaivi
 
Mimi ndio maana siombi ushauri kwa mtu, kama nna uwezo nnafanya nnacho amini.

Ni bora nipoteze ela nikiwa napambana kuwekeza kuliko nipoteze ela kwa kuto wekeza kwenye nnacho amini!
 
Njia ya kupata pesa Ni nyebamba Sana hold hold Shiba Inu
 
Hayaaa wale wakuuza na kununua.., huu ndio muda wa kununua Dogecoins, Serum na Solana.. Next month unachekelea..
 
Ingawa nimejiunga HIVI karibuni humu ,nimepitia post nyingi nimeona hali hi ya kupinga Kila kitu ipo sana-hiyo inaitwa"THE PESSIMISTS SEES THE DIFFICULT IN EVERY OPPORTUNITY AND THE OPTIMISTIS SEES THE OPPORTUNITY IN EVERY DIFFICULT-Aliwahi kusema WINSTON SPENCER CHURCHIL Waziri Mkuu wa UK
 
Acheni porojo nyie. Hapa kuna kaharufu ka upigaji hakuna hela za bure ni kufanya kazi tu na uzalishaji mali baas. Kuna mapori mapana lukuki nchini, vyanzo vya maji, ardhi yenye rotuba. Tufanyeni kazi jamani.
Tusibate taabu sana na mawazo ya aina hii,kuna watu wanachochea mawazo hasi ili wengine WASIJARIBU -KILA KITU DUNIANI NI KUJARIBU-BILA KUJARIBU HATUWEZI KUPATA MAFANIKIO-Tukumbuke kuwa kuanzia Mwaka 1989 baada ya kuvunjwa kwa UKUTA WA BERLIN,kiuchumi Dunia ilianza upya,tuliingia rasmi katika Mfumo wa maisha uitwao INFORMATION AGE -kuelekea DIGITAL AGE(DOT COM GENERATION),Tukumbuke Dunia imepitia Early stone age,Iron age, Industry age-HAPO VIPI?????
 
Acheni porojo nyie. Hapa kuna kaharufu ka upigaji hakuna hela za bure ni kufanya kazi tu na uzalishaji mali baas. Kuna mapori mapana lukuki nchini, vyanzo vya maji, ardhi yenye rotuba. Tufanyeni kazi jamani.
Tuonyeshe pori moja pana na lukuki pamoja na chanzo cha maji ulichoshughulika nacho.
 
Unadhani kwenye so called investments zote duniani kuna watu hawakupata faida ?

Au kabla ya vitu kwenda belly up unadhani hawakuwa na faida ?, Au unadhani kuna kinachopanda kisichoshuka ?, Kwenye hizi Risky investment especially ambazo hazijawa tested sio busara kuwashawishi watu waingie ila mwenyewe unaingia kwa utashi wako baada ya kuangalia na kupitia faida na hasara..., Sababu yoyote atakayekuhakikishia kuna Guarantee ya Profit anakudanganya.
 
Mi sitoagi mawazo ila
iko hivi huwezi ukaja from nowhere ukaanza kwa kutuambia umewekexa sijui dolla ngapi ukapata dolla flani… ni wazi watanzania tunapenda matukio ila sio matukio bila details which coin was that kwaanzia october mpaka mwezi huu imepanda kwa asilimia almost 100? coin
gani brother?
Halafu kitu kingine nmeona unavyojibu watu…Nimecheka sanaa…
Mnabidi mjue kwanza CRYPTO SIO UPIGAJI,FOREX SIO UPIGAJI ila usiwekeze uko kama huna hela ya kula ndani[emoji23][emoji23] PILI MWAKANI DARASA LA CRYPTO NJE NDANI LINAKUJIA YOUTUBE NA NTAWAHOST NDUGU ZANGUNI SI NI BURE NA KWA KISWAHILI… tutakupeleka kwenye ziwa afu wewe utakaata kunywa maji kama
mnavyompinga mshikaji apa!!
 
Be humble! Wavumilie tu, wengine humu darasa la2,wengine rigid, wengine mzaha ,wengine very serious, wengine Phd, wengine wamrisga toka kimaisha,cwengine wanaganga na hata wengine hufikia hatua ya kujiua humu humu JF. Hili ni kama likijiji likubwa
Kwa hio usitukane kwa hasira utakuwa kama wao, kama unajambo lilete wapo watakso lipokea na watakao lipuuza.
Vile vile usipuuzie wanaopinga nao wanahoja kama wanaounga mkono.
 
Traders watashangaa bitcoin ikigomea 20K
 
Sa kwanini uanze kumzungumzia Ontario kaingiaje hapo??
 
Jibu langu la siku zote ni kuwa HAKUNA MTU ANAEGAWA PESA ZA BURE DUNIANI.

Hivyo ukiona umekula tarajia kuwashawishi watu mia moja na hao wanaenda kuliwa.

Hakuna utajiri Rahisi duniani
You are wrong mkuu. Jielimishe vizuri kuhusu crypto na Blockchain kwanza
 
Hata forex sio upigaji ni vile hujapata elimu ya kutosha siku ukipata elimu utaleta ushahidi hapa kutuambia sio utapeli so keep learning
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…