Ile coin iliyojizoelea umaarufu kwenye Crypto currency nakununuliwa kwa wingi kwa matarajio ya kutajirisha watu inazidi kushuka Kwa kasi.
Shiba Inu inaendelea tu kushuka na kuleta taharuki, huzuni na kukata tamaa. Wengi hawaanini na kujuta kwanini waliwekeza na wengi wanafanya kutoka hela yao hata KWA hasara.
Wachumi walitabiri ikifika November Shiba itapanda Hadi one cent$. Kuna member humu majuzi alileta uzi akiomba ushaur jinsi ya kununua Shiba Inu. Pia kuna
Latvia alidai kanunua 110 m Shiba coins.
Hadi navyoandika huu uzi Shiba inazidi kushuka. Je wadau tusikate tamaa unaweza ikapanda? Wengine wanashaur ni vizur kuinunua Sasa hivi ilivyoshuka.
Wanadai Shiba Inu ilianzishwa kuiangusha Doge coin na sasa ni zamu yake kuanguka. Sasa coin ya Elon ndio mpango mzima.
Gushleviv mud-oil-chafu Greg50