Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Status
Not open for further replies.
Nervos Network CKB...ni 0.02pence
Haya twendeni wazee wa Crypto,
Wiki iliyopita Loopring ilikuwa less 94 pence sasa ni £2 na zaidi

FOMO, Fear of Missing Out
 
We ni mpigaji kama umewekeza hiyo kampuni ulowekeza huitaji ni ipi na nchi gani hili tuichunguze kama ni sahihi Weka mambo hadhalani usikalie inalipa onyesha na hizo payment zako kwa kwa kuattach hapa,maana ushalipwa sio?? Nyie watu jamani.Ya MO Dewji waloitangaza mtandao bado ina trend,watu wako makini na fedha zao.Tutamkumbuka.Ushenzi unarudi.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana Crypto kwako ni kama umepigwa na likitu kizito kichwani...
Kama huyajui, Nenda kalime viazi,
Hapa ni kwa wanaojua Crypto kupeana updates, nenda kajifunze mwenyewe ndio uje hapa, hatuko mahakamani hapa tukupe na vielelezo...
 
Ile coin iliyojizoelea umaarufu kwenye Crypto currency nakununuliwa kwa wingi kwa matarajio ya kutajirisha watu inazidi kushuka Kwa kasi.

Shiba Inu inaendelea tu kushuka na kuleta taharuki, huzuni na kukata tamaa. Wengi hawaanini na kujuta kwanini waliwekeza na wengi wanafanya kutoka hela yao hata KWA hasara.

Wachumi walitabiri ikifika November Shiba itapanda Hadi one cent$. Kuna member humu majuzi alileta uzi akiomba ushaur jinsi ya kununua Shiba Inu. Pia kuna Latvia alidai kanunua 110 m Shiba coins.

Hadi navyoandika huu uzi Shiba inazidi kushuka. Je wadau tusikate tamaa unaweza ikapanda? Wengine wanashaur ni vizur kuinunua Sasa hivi ilivyoshuka.

Wanadai Shiba Inu ilianzishwa kuiangusha Doge coin na sasa ni zamu yake kuanguka. Sasa coin ya Elon ndio mpango mzima.

Gushleviv mud-oil-chafu Greg50
 
Shiba Inu ilipanda kwa matarajio kuwa Robinhood itailist. Muda ambao ulitarajiwa Robinhood watailist ulipofika na haikufanya hivyo SHIB ikaacha kupanda. Robinhood wasingeweza kuilist kwa vile haina maisha kivilee, yani watu wainunue ikue kisha waiuze ili kununua ETH au BTC. Sasa kwa hali hiyo Robinhood wasingeweza risk maisha yao maana wana mabomu mengine wameyafuga pia.

Sababu kubwa ya Robinhood kutoilist SHIB ni kuwa 72% yake inamilikiwa na whales ambapo mmoja alikuwa na 42% ya coins zote kwenye mzunguko. Huyo jamaa angeamua kuuza coins zake ghafla kwa pamoja ili apate faida angeshusha thamani mpaka karibia na sifuri. Yani SHIB inategemea huruma za whales ambao hawana hasara maana walinunua mapema sana hata ishuke 80% ya thamani yake hawapati hasara.

Off course wametransfer kidogo ila ikitokea whale mmoja akauza zote nyie wengine mtajua hamjui
 
Pump and dump kama kawaida...acha wenye hela wendelee kula hela. Same as with crypto ya dogecoin, squid game na meme coins nyingine nyingi.
 

Shiba nilinunua ikiwa 0.00005.. ikapanda to 0.00008.. ilivyoshuka mpaka 0.00065 nikauza... sasa iko chini sana mpaka inatia huruma
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…