Elon Mzebuluni
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 225
- 139
Buy the fear, sell the greedy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini zipande ??Zitapanda tena baada ya christmass.. uvumilivuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Smart911 kununua crypto sio ujinga. Kutojielimisha ndio ujinga. Naamini anayenunua anapaswa kwanza kutafuta elimu ndipo ainvest.Wajinga ndiyo waliwao...
Hakuna mnachozalisha. Mnauza na kunua MIHEMKO na HYPES tu inayotokana na FOMO na Promotion.
BUY BUY BUYBuy SHIBA and thanks me later. SHIBA ni zaidi ya meme coin
HOLD HOLD HOLD TILL 2030Buy SHIBA and thanks me later. SHIBA ni zaidi ya meme coin
Kekundu kekunduuuu...kekunduu!Wajinga ndiyo waliwao...
Mkuu kuna coin inaitwa GALA nilikuwa naangalia chart yake hapa....Decembe 2020 price ilikuwa 0.6Tsh....leo price ya Gala ni 1400Tsh. Hapa ina maana December 2020 ningetumia tsh 100,000 kununua GALA ningepata gala 166,666 kama sijakosea hesabu. Sasa basi ningeamua kuuza Gala coin zangu leo ningepata 166,666*1400 = 233,332,400.....HIVI MKUU HII NI KWELI AU NAOTA LABDA.Buy SHIBA and thanks me later. SHIBA ni zaidi ya meme coin
Hahaha mkuu umekosea hesabu, cheki vizuri.Mkuu kuna coin inaitwa GALA nilikuwa naangalia chart yake hapa....Decembe 2020 price ilikuwa 0.6Tsh....leo price ya Gala ni 1400Tsh. Hapa ina maana December 2020 ningetumia tsh 100,000 kununua GALA ningepata gala 166,666 kama sijakosea hesabu. Sasa basi ningeamua kuuza Gala coin zangu leo ningepata 166,666*1400 = 233,332,400.....HIVI MKUU HII NI KWELI AU NAOTA LABDA.
Hapa utapigwa tuNaomba kujua kuhusu hawa Yesstyle imekaaje maan naon hbr hii watu wanasema unawekez mtaji unakuw unalipwa kamishen kutokn na kiasi ?
Mtoa maan kama unauelew au mjumbe mwingne naomb muongozoView attachment 2028372View attachment 2028371
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Bora wewe unaongelea milion 200, je wale watu walio kuwa na bitcoins za kutosha miaka ya 2012 wakanunulia piza unadhani leo wanajiskiaje?Mkuu kuna coin inaitwa GALA nilikuwa naangalia chart yake hapa....Decembe 2020 price ilikuwa 0.6Tsh....leo price ya Gala ni 1400Tsh. Hapa ina maana December 2020 ningetumia tsh 100,000 kununua GALA ningepata gala 166,666 kama sijakosea hesabu. Sasa basi ningeamua kuuza Gala coin zangu leo ningepata 166,666*1400 = 233,332,400.....HIVI MKUU HII NI KWELI AU NAOTA LABDA.
Nyie ndio mnao tuchafulia field yetu. Acheni ujinga.Naomba kujua kuhusu hawa Yesstyle imekaaje maan naon hbr hii watu wanasema unawekez mtaji unakuw unalipwa kamishen kutokn na kiasi ?
Mtoa maan kama unauelew au mjumbe mwingne naomb muongozoView attachment 2028372View attachment 2028371
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Nyie ndio mnao tuchafulia field yetu. Acheni ujinga.
Acha tu mkuu wangu...mm mwenyewe nimeanza kusikia ishu za BTC mwaka 2011 nikawa nasoma ila haziingii akilini kabisa.....nikapotezea....mwaka 2017 ndo nikaelewa nn maana ya cryptos na ishu zinazofanana nazo...2017 kama unakumbuka BTC iliporomoka mpaka usd 5000 nadhani...kwa wakati huo nilikuwa na uwezo wa kununua BTC 3...nikamshirkisha jamaa yangu wazo la kununua btc 3 akaniambia nina kichaa...nikaachana na ishu hyo...huyo jamaa mpaka kesho huwa namlaani...btc 1 imegonga usd 69,000 juzi kati hapa....je ningekuwa bazo 3.....3*69,000 = usd207,000....weka kwa pesa ya madafu...207,000*2300=jaza mwenyewe napatwa na hasira sanaBora wewe unaongelea milion 200, je wale watu walio kuwa na bitcoins za kutosha miaka ya 2012 wakanunulia piza unadhani leo wanajiskiaje?
Walisema kabisa they don't give a https://jamii.app/JFUserGuide. Hizo BTC walipewa na wakazitumia kwa price iliyokuwepo, hakuna hela iliundwa ili itunzwe bila kutumika. Majamaa wa Harvard wale kama sikoseiBora wewe unaongelea milion 200, je wale watu walio kuwa na bitcoins za kutosha miaka ya 2012 wakanunulia piza unadhani leo wanajiskiaje?
Achana na hizo takatakaNaomba kujua kuhusu hawa Yesstyle imekaaje maan naon hbr hii watu wanasema unawekez mtaji unakuw unalipwa kamishen kutokn na kiasi ?
Mtoa maan kama unauelew au mjumbe mwingne naomb muongozoView attachment 2028372View attachment 2028371
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app