Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Status
Not open for further replies.
Hakuna mnachozalisha. Mnauza na kunua MIHEMKO na HYPES tu inayotokana na FOMO na Promotion.
 
Zitapanda tena baada ya christmass.. uvumilivuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini zipande ??

Unahisi itakuwa hivyo tu. Kuishi kwa matumaini🤣
 
Buy SHIBA and thanks me later. SHIBA ni zaidi ya meme coin
Mkuu kuna coin inaitwa GALA nilikuwa naangalia chart yake hapa....Decembe 2020 price ilikuwa 0.6Tsh....leo price ya Gala ni 1400Tsh. Hapa ina maana December 2020 ningetumia tsh 100,000 kununua GALA ningepata gala 166,666 kama sijakosea hesabu. Sasa basi ningeamua kuuza Gala coin zangu leo ningepata 166,666*1400 = 233,332,400.....HIVI MKUU HII NI KWELI AU NAOTA LABDA.
 
Hahaha mkuu umekosea hesabu, cheki vizuri.
 
Naomba kujua kuhusu hawa Yesstyle imekaaje maan naon hbr hii watu wanasema unawekez mtaji unakuw unalipwa kamishen kutokn na kiasi ?

Mtoa maan kama unauelew au mjumbe mwingne naomb muongozo
IMG-20211127-WA0002.jpg
View attachment 2028371

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuna coin inaitwa GALA nilikuwa naangalia chart yake hapa....Decembe 2020 price ilikuwa 0.6Tsh....leo price ya Gala ni 1400Tsh. Hapa ina maana December 2020 ningetumia tsh 100,000 kununua GALA ningepata gala 166,666 kama sijakosea hesabu. Sasa basi ningeamua kuuza Gala coin zangu leo ningepata 166,666*1400 = 233,332,400.....HIVI MKUU HII NI KWELI AU NAOTA LABDA.
Bora wewe unaongelea milion 200, je wale watu walio kuwa na bitcoins za kutosha miaka ya 2012 wakanunulia piza unadhani leo wanajiskiaje?
 
Acha tu mkuu wangu...mm mwenyewe nimeanza kusikia ishu za BTC mwaka 2011 nikawa nasoma ila haziingii akilini kabisa.....nikapotezea....mwaka 2017 ndo nikaelewa nn maana ya cryptos na ishu zinazofanana nazo...2017 kama unakumbuka BTC iliporomoka mpaka usd 5000 nadhani...kwa wakati huo nilikuwa na uwezo wa kununua BTC 3...nikamshirkisha jamaa yangu wazo la kununua btc 3 akaniambia nina kichaa...nikaachana na ishu hyo...huyo jamaa mpaka kesho huwa namlaani...btc 1 imegonga usd 69,000 juzi kati hapa....je ningekuwa bazo 3.....3*69,000 = usd207,000....weka kwa pesa ya madafu...207,000*2300=jaza mwenyewe napatwa na hasira sana
 
Bora wewe unaongelea milion 200, je wale watu walio kuwa na bitcoins za kutosha miaka ya 2012 wakanunulia piza unadhani leo wanajiskiaje?
Walisema kabisa they don't give a https://jamii.app/JFUserGuide. Hizo BTC walipewa na wakazitumia kwa price iliyokuwepo, hakuna hela iliundwa ili itunzwe bila kutumika. Majamaa wa Harvard wale kama sikosei
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom