Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Status
Not open for further replies.
Guys crypto is hyping now na trend ni meme coins na community coins sasa nakimbiza na Santa coin iliyoanzishwa juzi tu ambayo inafanana kwa kila kitu na evergow ambayo ndani ya mwezi mmoja imekusanya market cap ya 1.3B$ wanalipa reflections now kwa BUSD
Icheki SANTA coin now kwa coinghecko and hop in Men
Uko sahihi mkuu. Trend Kwa Sasa ni meme coins. Nomewekeza kwenye coin zaidi ya 50 including SANTA
 
Mimi ni expert wa crypto, nimekuwa nikiandika threads nyingi kuhusu crypto lakini zinafutwa or walio wengi wananishambulia kuwa me tapeli. Threads kama hizi nazipa tu likes kwa utulivu but huwa sichangii chochote.

Najua waTanzania wengi bado ni washamba wa crypto including Melo maana amekuwa akibariki kufutwa kwa threads za aina hii.

Wazee hamjui tu ni kiasi gani cha BTC nimehold kwenye cold storage (Electrum wallet)

Wale wajanja pigeni pesa achaneni na hawa mafala wasiojua chochote. Pigeni pesa wala msitoe info kwa yeyote. Piga pesa.. nasema pigeni pesa kimya kimya wala msije huku kutangaza mtaitwa matapeli.
ndio inatakiwa mpige pesa kimyakimya sio kuja huku JF na kulazimishia watu mawazo kusema mnawapenda sana
Kuna mwingine analazimisa sana watu kujiunga kupitia invitation code yenye jina lake.
Kwani lazima uje huku JF kuleta hayo ma crypo yenu , si ushee kimyakimya na ndugu zako ili wote ukoo wenu mzima muwe matajiri
 
Mi nilianza na USD 1000..sasa nimevuna 2300 ndani ya siku 13

IMG_3439.png

Komaa mzee baba… tuko pamoja..
 
Ngoja niiweke kwanza kwenye uangalizi manake nimepitia whitepaper kwa haraka haraka naona ni kinda promissing.
Usichelewe kaka, wekeza hata $100. Mi nilimshauri rafiki yangu mmoja kuingia tarehe 28 Jan, sasa anafurahi sana baada ya pesa yake kuongezeka mara 3.
 
Usichelewe kaka, wekeza hata $100. Mi nilimshauri rafiki yangu mmoja kuingia tarehe 28 Jan, sasa anafurahi sana baada ya pesa yake kuongezeka mara 3.
Nikiangalia graph yake ilivyo, something tells me kwa sasa bado inachezewa ili ku-mantain level fulani ya bei, na bei haitokani na nguvu ya soko kwa 100%!

And of course, nimeona $100 mtu unachukua almost 2500 Coins. Kwa kuangalia supply yake, 2500 coins ni nyingi sana kwa sababu ni rahisi sana bei kufika $50. Hata hivyo, something tells me ndani ya saa 24 zijazo, hiyo $100 naweza kupata zaidi ya coins 3000. Na kutokana na supply ya hii crypto, 500 coins sio za kuacha zipotee hivi hivi kwa sababu baadae zinaweza kuwa pesa nyingi sana hiyo!

Speculation zangu zikiwa tofauti, well and good coz' that's how crypto world works! Huwa napenda kutumia my own theory kwamba "there's always a promising crypto coming"!
 
Nahitaji nijifunze Crypto nitumie njia gani?
1. Jiunge binance
2. Kama uko Tz uliza watu hapa jinsi ya kununua BNB (hii ni coin ya binance) kwa kutumia simu.
3.Download trust wallet kwenye simu yako.
4. Hamisha BNB zako kutoka binance.com kwenda kwenye trust wallet.
5. Kwenye trust wallet jifunze kutumia pancakeswap ili uweze kufanya trading.

Kwenye crypto, pesa nyingi hutengenezwa unapokuwa early investor. Coins nyingi zilizofanikiwa huwa zinaongezeka thamani mara 100 mpaka 100000 katika kipindi cha miezi sita ya kwanza. Ujanja ni kuzitambua mapema, kumbuka coins nyingi mpya (97%) ni scam.
 
Binance ni application?
Ipo playstore?
 
Nikiangalia graph yake ilivyo, something tells me kwa sasa bado inachezewa ili ku-mantain level fulani ya bei, na bei haitokani na nguvu ya soko kwa 100%!
Graph ilipanda sana weekend iliyopita kwasababu kwa mara ya kwanza wali run ads poocoin. Investors wapya wakaipaisha mpaka ikafika $0.18 kutoka $0.01. Baadhi wakachukua profit ila $0.037 imekuwa ni support level.
And of course, nimeona $100 mtu unachukua almost 2500 Coins. Kwa kuangalia supply yake, 2500 coins ni nyingi sana kwa sababu ni rahisi sana bei kufika $50. Hata hivyo, something tells me ndani ya saa 24 zijazo, hiyo $100 naweza kupata zaidi ya coins 3000. Na kutokana na supply ya hii crypto, 500 coins sio za kuacha zipotee hivi hivi kwa sababu baadae zinaweza kuwa pesa nyingi sana hiyo!
Ndiyo hivyo, marketcap yake bado ndogo sana na inaweza kupaa haraka. Hii bado hawajaifanyia marketing ya kutosha, ikiwekwa kwenye exchange kubwa kiasi kama hotbit au bitmart, ni rahisi sana kuongenzeka hata mara 1000.
Speculation zangu zikiwa tofauti, well and good coz' that's how crypto world works! Huwa napenda kutumia my own theory kwamba "there's always a promising crypto coming"!
Katika crypto mpya nilizonunua mwezi uliopita hii pekee ndo imenipa faida ya zaidi ya 10X. Nyingine zote ni hasara, baadhi nimekuwa rugged kabisa.
 
Binance ni application?
Ipo playstore?
Ni kampuni kubwa inayomiliki binance blockchain (technology ya kufanya hizi transaction). Pia wanamiliki coin yao ya BNB (pamoja na stable coin ya BUSD). Inayo website, binance.com (pia wana app yao kwenye playstore).
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom