Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Shida kubwa matapeli wengi sana wamejiingiza kwenye hii biashara ya Digital Coins, mtaji wao mkubwa ni vijana wenye tamaa ya utajiri wa haraka.Kuna mavi-jana yanajifanyaga kujua wakati hayajui!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida kubwa matapeli wengi sana wamejiingiza kwenye hii biashara ya Digital Coins, mtaji wao mkubwa ni vijana wenye tamaa ya utajiri wa haraka.Kuna mavi-jana yanajifanyaga kujua wakati hayajui!
Watu kama Hawa ni wa kuwapuuzia tuNaona Mkaldayo umeanza kuleta Mambo yako ya Uyebusi🤣🤣
Uko sahihi mkuu. Trend Kwa Sasa ni meme coins. Nomewekeza kwenye coin zaidi ya 50 including SANTAGuys crypto is hyping now na trend ni meme coins na community coins sasa nakimbiza na Santa coin iliyoanzishwa juzi tu ambayo inafanana kwa kila kitu na evergow ambayo ndani ya mwezi mmoja imekusanya market cap ya 1.3B$ wanalipa reflections now kwa BUSD
Icheki SANTA coin now kwa coinghecko and hop in Men
ndio inatakiwa mpige pesa kimyakimya sio kuja huku JF na kulazimishia watu mawazo kusema mnawapenda sanaMimi ni expert wa crypto, nimekuwa nikiandika threads nyingi kuhusu crypto lakini zinafutwa or walio wengi wananishambulia kuwa me tapeli. Threads kama hizi nazipa tu likes kwa utulivu but huwa sichangii chochote.
Najua waTanzania wengi bado ni washamba wa crypto including Melo maana amekuwa akibariki kufutwa kwa threads za aina hii.
Wazee hamjui tu ni kiasi gani cha BTC nimehold kwenye cold storage (Electrum wallet)
Wale wajanja pigeni pesa achaneni na hawa mafala wasiojua chochote. Pigeni pesa wala msitoe info kwa yeyote. Piga pesa.. nasema pigeni pesa kimya kimya wala msije huku kutangaza mtaitwa matapeli.
[emoji1787][emoji1787] na kweli Huyo jamaa ni lijuaji la karneWale wajuaji niliokuwa nawaambieni wameingia...
Lakini yeye atakuwa ameshakula tatizo liko wapi?Jibu langu la siku zote ni kuwa HAKUNA MTU ANAEGAWA PESA ZA BURE DUNIANI.
Hivyo ukiona umekula tarajia kuwashawishi watu mia moja na hao wanaenda kuliwa.
Hakuna utajiri Rahisi duniani
Mi nilianza na USD 1000..sasa nimevuna 2300 ndani ya siku 13Ok..Cardano is very promising
Mi nilianza na USD 1000..sasa nimevuna 2300 ndani ya siku 13
Safi sanaa, ulitrade au staking?Mi nilianza na USD 1000..sasa nimevuna 2300 ndani ya siku 13
Mi nilianza na USD 1000..sasa nimevuna 2300 ndani ya siku 13
Ongezea na CIRA kaka (huta juta).View attachment 2106600
Komaa mzee baba… tuko pamoja..
Hapa utakuwa kwenye 50M+ within 3 months manake naona na soko leo kama linajifanya ku-stablize hivi though it's too soon to say so!View attachment 2106600
Komaa mzee baba… tuko pamoja..
Ngoja niiweke kwanza kwenye uangalizi manake nimepitia whitepaper kwa haraka haraka naona ni kinda promissing.Ongezea na CIRA kaka (huta juta).
Ina low market cap (400k), coin imeanza Dec 27 2021.
Contract:
0xb2a1713acf4ab486e2e5f95d1481c476a1f0123d
Poocoin chart:
Nahitaji nijifunze Crypto nitumie njia gani?You are wrong mkuu. Jielimishe vizuri kuhusu crypto na Blockchain kwanza
Usichelewe kaka, wekeza hata $100. Mi nilimshauri rafiki yangu mmoja kuingia tarehe 28 Jan, sasa anafurahi sana baada ya pesa yake kuongezeka mara 3.Ngoja niiweke kwanza kwenye uangalizi manake nimepitia whitepaper kwa haraka haraka naona ni kinda promissing.
Nikiangalia graph yake ilivyo, something tells me kwa sasa bado inachezewa ili ku-mantain level fulani ya bei, na bei haitokani na nguvu ya soko kwa 100%!Usichelewe kaka, wekeza hata $100. Mi nilimshauri rafiki yangu mmoja kuingia tarehe 28 Jan, sasa anafurahi sana baada ya pesa yake kuongezeka mara 3.
1. Jiunge binanceNahitaji nijifunze Crypto nitumie njia gani?
Binance ni application?1. Jiunge binance
2. Kama uko Tz uliza watu hapa jinsi ya kununua BNB (hii ni coin ya binance) kwa kutumia simu.
3.Download trust wallet kwenye simu yako.
4. Hamisha BNB zako kutoka binance.com kwenda kwenye trust wallet.
5. Kwenye trust wallet jifunze kutumia pancakeswap ili uweze kufanya trading.
Kwenye crypto, pesa nyingi hutengenezwa unapokuwa early investor. Coins nyingi zilizofanikiwa huwa zinaongezeka thamani mara 100 mpaka 100000 katika kipindi cha miezi sita ya kwanza. Ujanja ni kuzitambua mapema, kumbuka coins nyingi mpya (97%) ni scam.
Graph ilipanda sana weekend iliyopita kwasababu kwa mara ya kwanza wali run ads poocoin. Investors wapya wakaipaisha mpaka ikafika $0.18 kutoka $0.01. Baadhi wakachukua profit ila $0.037 imekuwa ni support level.Nikiangalia graph yake ilivyo, something tells me kwa sasa bado inachezewa ili ku-mantain level fulani ya bei, na bei haitokani na nguvu ya soko kwa 100%!
Ndiyo hivyo, marketcap yake bado ndogo sana na inaweza kupaa haraka. Hii bado hawajaifanyia marketing ya kutosha, ikiwekwa kwenye exchange kubwa kiasi kama hotbit au bitmart, ni rahisi sana kuongenzeka hata mara 1000.And of course, nimeona $100 mtu unachukua almost 2500 Coins. Kwa kuangalia supply yake, 2500 coins ni nyingi sana kwa sababu ni rahisi sana bei kufika $50. Hata hivyo, something tells me ndani ya saa 24 zijazo, hiyo $100 naweza kupata zaidi ya coins 3000. Na kutokana na supply ya hii crypto, 500 coins sio za kuacha zipotee hivi hivi kwa sababu baadae zinaweza kuwa pesa nyingi sana hiyo!
Katika crypto mpya nilizonunua mwezi uliopita hii pekee ndo imenipa faida ya zaidi ya 10X. Nyingine zote ni hasara, baadhi nimekuwa rugged kabisa.Speculation zangu zikiwa tofauti, well and good coz' that's how crypto world works! Huwa napenda kutumia my own theory kwamba "there's always a promising crypto coming"!
Ni kampuni kubwa inayomiliki binance blockchain (technology ya kufanya hizi transaction). Pia wanamiliki coin yao ya BNB (pamoja na stable coin ya BUSD). Inayo website, binance.com (pia wana app yao kwenye playstore).Binance ni application?
Ipo playstore?
Ingia YouTube Kuna video za kutoshaNahitaji nijifunze Crypto nitumie njia gani?