Crystalline Canopy Theory na gharika la Nuhu

Nisaidie kwa nini tunasema yako mawingu ya mvua na mawingu yasiyo ya mvua?

Na kwa nini hiyo solid state ya anga au mawingu isiwe ndio hiyo cannopy iliyo tajwa kiembrania?

Unatumia kigezo gani kuto tofautisha upinde wa mvua na mawingu?

Nini kinachokufanya ujihakikishie kuwa mvua na mawingu vilianza wakati wa gharika ya Nuhu? Kumbuka katika uumbaji Mungu alitenga maji na kupata ya angani na yaliyo katika nchi chini ya anga? Lakini tunambiwa pia kuwa Mungu alifanya ardhi ikawa na unyevu ikachipusha mimea. Huo unyevu ulitokana na maji ya angani au ya chini ya anga? Ndio tunarudi kule kule yako mambo ambayo Mungu kwa utashi wake hakutaka kutufunulia.
1. Mkuu kwenye hiyo page nilioambatanisha tafsiri ya kiebrania kwa mawingu ni ANAN alafu upinde RESHIYT hivyo ndio nimetofautisha kwa kutumia maana hizi za kiebrania kwa hiyo upinde na mawingu ni vitu viwili tofauti ila vyote kwa pamoja vilitumika kama alama ya makubaliano baada ya gharika.

2. Mkuu hoja hapa sio mawingu ya mvua au yasiyo mawingu ya mvua ila hoja hapa ni kwanini waliyapa majina yenye maana tofauti kabisa ni sawa na mtu aseme simba na nyati ni wanyama wakali sana alafu mtu useme huyo ni mnyama mmoja.... Inaingia kweli?? IRON DOME haiwezi kuwa sawa na WINGU maana kwa waebrania hyo canopy wanaitambua kabisa hata ukisoma kitabu cha antiquites Book 1 verse 1 utakutana na story ya creation ya msomi myahudi Josephus Flavius ana conclude kwamba kulikuwepo na FIRMAMENT/Canopy juu ya anga ambayo ilikuwa ikiizunguka dunia kama chuma sababu iliganda huku akiitofautisha kabisa na wingu..... Pia MABABA wa kanisa la kwanza kina Thomas Aquinas,Agustine of Hippo wote kwa nyakati tofauti wanakiri uwepo wa canopy sasa sitaki kuamini hawa wakristo wa kwanza hawafahamu biblia kiasi wapotoshe.

3. Kinachonihakikishia kuwa ni vitu viwili tofauti ni sababu ni vitu viwili tofauti!!....kwanza uwepo wa canopy umezungumziwa hata nje ya biblia kwenye vitabu vya kiyahudi na neno lililotumika kwa maandiko ya kiebrania ndio hilo hilo linatumika kwenye bible ikimaanisha kwamba muandishi wa biblia alikuwa anafahamu kabisa imani za kiebrania ndio maana akatofautisha kati ya Raqia na Anan hivyo hilo neno Raqia ukienda kwenye translation ya kiebrania ndio itakueleza dunia ilikuwa imezungukwa na uzio wa chuma n.k sasa unataka uniambia Musa hakufahamu tofauti hizi wakati ana compile hichi kitabu cha mwanzo??

4. Solid state ya mawingu ni mawingu bado na ndio maana daudi kwenye sura zinazofuatana kaeleza kuwa kuna MAWINGU na UZINGO WA CHUMA sababu alifahamu tofauti hii kwa kusoma imani za mababu zao wa kiyahudi na ndio maana hata waandishi wa biblia wamezitofautisha sababu ingekuwa kitu kimoja wangeipa jina mmoja mfano mawingu as mawingu kwenye biblia yamepewa majina karibu 5 ila yote yaliwa converted kwa kiingereza yanabaki mawingu je kwanini waliweka exception kwa haya MAJI JUU YA ANGA kama kweli ni concept moja na mawingu???

5. Kuhusu unyevu nimeelezea vyema kabisa kwenye post ya kwanza kwamba hata kwa uwepo wa canopy ilitengeneza unyevu mzito sana kuliko hata wa mawingu ya sasa na ndio maana Mungu alitumia unyevu kukuza mazao na hakuleta mvua soma mwanzo 2:5-6.....

6. Mvua haikuwepo kabla ya gharika sababu biblia inaonyesha hivyo kwenye mwanzo 2:5-6 hadi inapotajwa kwenye gharika na ndio maana biblia ikasema ''madirisha ya mbinguni'' yalifunguliwa haikusema mawingu or any sort sababu hayakuwepo hadi baada ya gharika ndipo mwanzo 9 inasema uwepo wa mawingu kwa mara ya kwanza

Pia kingine ni logic tu sababu unaona Nuhu kwenye maandiko mbalimbali alipuuzwa sababu walimuona anaongea kitu ambacho hakipo ila kwa mfano kama angesema MVUA inakuja kumbuka alikaa miaka zaidi ya 40 ina maanisha hapo kati kama kulikuwa na misimu ya mvua na haikuwa na gharika je ni mvua gani alitumia kutisha watu??? Yaani misimu ya mvua 80 ipite alafu bado unawaambia MVUA KUBWA ZINAKUJA sidhani kama hata wwe inakuingia akilini ila kwa kuwa mvua ilikuwa haijawahi onekana ndio maana walimpuuza sababu walijua anaongea kitu ambacho hakipo

All in all nachotaka tuelewane ni kwamba mawingu na canopy/firmament ni vitu 2 tofauti kwa waebrania hivyo tusivichanganye kabisa

Ubarikiwe
 
Hutaki tena kuzungumzia barafu. Mimi na kuuliza barafu na chuma viko katika state gani za matter?

Mwanzo 2:4b-6 Mungu kasema kuwa sababu ya kufanya mbegu zisiote na kuto kuwepo mimea juu ya ardhi/nchi ni yeye kuzuia mvua isinyeshe, na kwa nini isinyeshe? ni kwasababu ikinyesha mbegu zingeota kuwepo na mimea wakati kulikuwa hamna mwanadamu wa kuilima hiyo ardhi.

4b.When the LORD God made the universe,

5 there were no plants on the earth, and no seeds had sprouted, because he had not sent any rain, and there was no one to cultivate the land,
6 but water would come up from beneath the surface and water the ground.

Mwanzo 3:23
So the LORD God sent him (Adam) out of the Garden of Eden and made him cultivate the soil from which he had been formed.
Hapa utaona kikwazo cha mvua kutonyesheshwa juu ya ardhi/nchi kimeondoka automatically.

Pia usipende kupindisha maneno ya Mungu, maana iko wazi kabisa, kilicho kuwa Agano kati ya Mungu na viumbe wote ni upinde wa Mvua/upinde wa Mungu uliowekwa mawinguni, soma hapo Mwanzo 9:8-13a

13a. I am putting my bow in the clouds.

Mkuu shida hapa ww unatafsiri maandiko kwa kiswahili wakati mie nimekuwekea tafsiri ya lugha asili ya muandishi wa Biblia yaani kiebrania sasa sioni ukijikita kwenye kiebrania unalazimisha tujadili kwa biblia ya kiswahili sasa tutafika kweli??

Raqia ni firmament kwa kiebrania ambayo ni mzingo uliokuwepo kabla ya gharika na ni tofauti na mawingu na hilo haibadiliki sasa kwanini usijikite huko mkuu unalazimisha kuwa ni mawingu wakati kuna vitabu vya wayahudi mfano Antiquity cha Josephus kinaongelea huo mzingo!! Bila kusahau midrash pia sasa unaweza ukanipa source hata moja tu nje ya biblia ambayo hiyo firmament na mawingu ni kitu kimoja

Ukinipa ndio ntaamini hayo maji juu ya anga na mawingu ni kitu kimoja

Meanwhile ningerecommend usome hichi kitabu chini ili uielewe biblia katika uasili wake sio TAFSIRI zake
20180830_090244.jpg
20180830_090324.jpg
20180830_090334.jpg
 
Roho Mtakatifu siku ile ya pentekosti aliposhuka hapa duniani kwa alama ya ndimi za moto angani/mawinguni na kuwaingia wale wafuasi wa Bwana Yesu waliokuwa katika lile kusanyiko walinena kwa lugha mbalimbali za dunia hii.

Maana yake ni kuwa Neno la Mungu ambalo ni habari njema ya ukombozi kwa watu wote linge hubiriwa ulimwenguni kote kwa hizo lugha mbalimbali. Kwa hiyo Biblia kuwa za lugha mbalimbali ni muendelezo wa kilicho anzishwa siku ile alipokuja msaidizi wetu Roho Mtakatifu

Sasa acha kurukaruka na kuuliza tena barafu ambayo ndio form ya maji ya mvua yakiwa angani kabla ya kuyeyushwa na joto na kugeuka kuwa mvua inyeshayo, na chuma ziko katika state gani ya matter?

Halafu jua kuwa Biblia haina masharti kuhusu tafsiri na hizo blabla nyengine za ki-Kuran, maana mwisho wa siku Roho wa Mungu ni yule yule, jana , leo na hata milele. Mimi hapa nimetumia Biblia ya Kiingereza na nikatolea ufafanuzi kwa kiswahili, upo?

Mkuu shida hapa ww unatafsiri maandiko kwa kiswahili wakati mie nimekuwekea tafsiri ya lugha asili ya muandishi wa Biblia yaani kiebrania sasa sioni ukijikita kwenye kiebrania unalazimisha tujadili kwa biblia ya kiswahili sasa tutafika kweli??

Raqia ni firmament kwa kiebrania ambayo ni mzingo uliokuwepo kabla ya gharika na ni tofauti na mawingu na hilo haibadiliki sasa kwanini usijikite huko mkuu unalazimisha kuwa ni mawingu wakati kuna vitabu vya wayahudi mfano Antiquity cha Josephus kinaongelea huo mzingo!! Bila kusahau midrash pia sasa unaweza ukanipa source hata moja tu nje ya biblia ambayo hiyo firmament na mawingu ni kitu kimoja

Ukinipa ndio ntaamini hayo maji juu ya anga na mawingu ni kitu kimoja

Meanwhile ningerecommend usome hichi kitabu chini ili uielewe biblia katika uasili wake sio TAFSIRI zake View attachment 851900View attachment 851901View attachment 851902
 
Roho Mtakatifu siku ile ya pentekosti aliposhuka hapa duniani kwa alama ya ndimi za moto angani/mawinguni na kuwaingia wale wafuasi wa Bwana Yesu waliokuwa katika lile kusanyiko walinena kwa lugha mbalimbali za dunia hii.

Maana yake ni kuwa Neno la Mungu ambalo ni habari njema ya ukombozi kwa watu wote linge hubiriwa ulimwenguni kote kwa hizo lugha mbalimbali. Kwa hiyo Biblia kuwa za lugha mbalimbali ni muendelezo wa kilicho anzishwa siku ile alipokuja msaidizi wetu Roho Mtakatifu

Sasa acha kurukaruka na kuuliza tena barafu ambayo ndio form ya maji ya mvua yakiwa angani kabla ya kuyeyushwa na joto na kugeuka kuwa mvua inyeshayo, na chuma ziko katika state gani ya matter?

Halafu jua kuwa Biblia haina masharti kuhusu tafsiri na hizo blabla nyengine za ki-Kuran, maana mwisho wa siku Roho wa Mungu ni yule yule, jana , leo na hata milele. Mimi hapa nimetumia Biblia ya Kiingereza na nikatolea ufafanuzi kwa kiswahili, upo?
1.Nilishakueleza mawingu sio solid ni combination ya liquid solid na gas.... Hata hiyo canopy ilikuwa kwenye mfumo wa liquid initially na baadae ikawa crystalline (solid ya barafu kwa juu) so hii hoja usitumie kabisa

2. Mkuu shida yako unafikiri kila kitu kwenye Biblia ni kazi ya Roho mtakatifu wakati kuna makosa ya kibinadamu mengi tu ambayo wanatheolojia wanakiri hasa kwenye upande wa tafsiri.... Mfano ule uzi wangu wa kuhusu viumbe kuna majina ya viumbe kiebrania ni tofauti ila Tanzania wakayapa majina ya hapahapa mfano Dragon akaitwa nyoka wakati dunia nzima dragon na nyoka ni vitu viwili tofauti, behemoth kiswahili kaitwa kiboko ilihali kiebrania behemoth na Kiboko ni wanyama wawili tofauti na hata biblia ya kiingereza ina discrepancy za aina hiyo kwenye kutafsiri ndio maana biblia za kingereza zinakinzana version zote sasa unataka kusema roho mtakatifu aliandika versions 10????

Mfano
Luke 4 (NIV)
4 Jesus answered, “It is written: ‘Man shall not live on bread alone.

Luke 4 (KJV)
Man shall not live by bread alone, but by every word of God.

Sasa kama Biblia yenyewe ya kiingereza unayoona ndio sahihi kuliko kiebrania zinakinzana kwanini uamini ni kazi ya Roho mtakatifu (ningependa ujibu)

3. Mkuu narudia tena nimetumia kiebrania ili upate maana halisi maana naona unabishania kupitia secondary source wakati mie nmekuja na chanzo halisi cha biblia ili tupate maana yake mbichi kabisa ila ww unakomaa na biblia ya kiingereza na kiswahili ambazo zimeyapa maneno tafsiri kuendana na mazingira ya kwao sasa nilitegemea ungechukua hilo neno la kiebrania alafu uende hata uli google ujifunze kwa waebrania hiyo Raqia ni nini utagundua ni imani nyingine kabisa nje ya mawingu sasa wwe unalazimisha iwe mawingu ina maana ww ndio unafahamu zaidi kiebrania kuliko wayahudi?? Kwanini tunapenda majibu mepesi kwa maswali magumu? Ni lini a firmament/canopy is same as clouds??
 
Angani kuna barafu ? Hata kama iwe ndiyo mawingu ama siyo. Barafu na Iron firmment/cannopy zote ni solid states of matter. Uwe umetumia barafu au firmment katika hilo anga bado utaongela/argue kama ilivyo sasa. Hivi unajua kwamba wenzetu huko wanapata barafu ziangukazo kutokea angani? Hili unaliongelea vipi?

Hili nalo nataka ulijue kuwa tunapo soma Biblia, kwa anaye elewa huwa ana omba kwanza kwa Mungu ampe ufunuo na uelewa kwa muongozo wa Roho Mtakatifu.

Iko mistari uliyo ileta hapa ili kujengea hoja yako, mimi baadaye nilitolea ufafanuzu je ulikanusha huo ufafanuzi wangu? Kwa mfano nimesema Agano wakati wa Nuhu ni upinde wa Mungu/Mvua si mawingu. Ulikanusha hili? kwa ufafanuzi gani wa kutumia Biblia?

Lakini kuna hili la kuwa Bwana Yesu alisema, Mtu hataishi kwa mkate peke yake, bali kwa kila Neno litokala kwa Mungu." Niambie tatizo nini katika haya maneno ya Biblia ili ni kusaidie?

Hivi dragon na nyoka walipotwaja katika hizo Biblia zenye lugha mbili tofauti walimuwakilisha nani? Lengo la uwakilishi huo halikufikiwa? Ujumbe wa Mungu uliotaka kufikishwa kwa walengwa haukufika?

Kumbe shetani anashikilia ufahamu wa watu wengi kama moja ya silaha zake kuu za upotevu.
 
1.Mkuu narudia tena firmament na mawingu ni vitu viwili tofauti ingawa vinatofautiana tu wakati wa kuwepo kwao na kama ww unasema ni kitu kimoja unaweza ukanipa reference kokote pale duniani iwe kwenye dictionary,hadithi,maandiko n.k nipe moja tu ili unieleweshe.

2.Kuhusu snow sio hoja maana crystal za barafu huwa zinajitengeneza angani hata huku afrika ila hoja inabaki kuwa wingu linapitia gas,liquid na solid form na haijawahi kuwa form moja alafu hyo canopy ilizunguka dunia nzima kwa wakati mmoja je unaweza nisaidia ni lini dunia nzima ikazungukwa na mawingu kwa wakati mmoja.... Yaani kuwepo na mawingu solid dunia nzima hata kwa lisaa limoja (nisaidie hapa)

3. Kuhusu kuelewa Biblia mpaka uwe na roho mtakatifu je kwa mtu ambaye sio mkristo akiuliza swali umsaidie je utamuambia mpaka akaombe kwa Roho?? Ina maana hao mapastor wenye PhD za Biblia hawana Roho mtakatifu kama aliyenaye tikakami?? Pia unisaidie kama kusoma biblia ni mpaka uwe na roho mtakatifu ndio uelewe je ni kwanini wachungaji wanaenda vyuo vya biblia au wanatafsiri biblia kwanini wasisome biblia ya kiingereza alafu roho mtakatifu awatafsirie kwa kiswahili hapo hapo??

4. Kuhusu mistari uliyoitolea ufafanuzi nilishasema unakosea kwa sababu mie nimeleta hoja kwa kutumia biblia ya kiebrania wwe unaleta ufafanuzi kwa kutumia biblia ya kiswahili.... Narudia tena na nimekuwekea kitabu hapo ukitafute cha kuhusu kiebrania kilichotumika kwenye bible kinasema neno lililotumika kwenye MAWINGU ni ANAN na upinde wa mvua ni ''Bre’shiyt/keshet na niliweka screenshot pale juu sasa biblia ikasema ANAN ni ''alama ya uangalizi wa agano'' sasa nakupa challenge katafute source yeyote ile uniletee maana ya kiebrania ya ANAN alafu isipoongelea chochote kuhusu agano ndio urudi ulazimishe kuwa upinde pekee ndio alama ya agano..... Njoo na facts what is keshet na what is anan simple and clear sasa kigumu kipi (nasubiri matokeo ya utafiti wako)

5. Kuhusu binadamu hatoishi kwa mkate tu... Ni kwamba Biblia ya kiingereza moja kwenye luka inasema BALI KWA KILA NENO LITOKALO KATIKA KINYWA CHA MUNGU.... Ila biblia nyingine zinafuta hicho kipengele sasa nakuuliza how credible is the english bible?? ndio maana nasema tujikite kwenye hebrew text tupate muktadha usitumie kingereza kama msingi wa kutafsiri biblia, anyway nasubiri unisaidie hapo kwanini biblia za kiingereza zinakinzana na pia wewe mwenye Roho mtakatifu unaweza kutusaidia biblia gani ya kiingereza ambayo ni sahihi kutumiwa maana zote haziwezi kuwa sahihi coz zinakinzana....

6. Kuhusu shetani ni kweli amekamata fahamu za wengi hivyo ni jukumu la nyie ambao hamjakamatwa mtusaidie sisi kwa kunisaidia maswali niliyouliza ili nifunguke na ningeomba ujibu kwa mtiririko huuhuu.

Natanguliza shukrani
 
Mkuu zitto junior watu wengi sana hawana imani na kazi ya UUMBAJI aliyoifanya BWANA MUNGU ndiyo maana kila siku wanahoji kazi za MUNGU kwa kutumia "akili" zao za kibinadamu zilizoumbwa na MUNGU mwenyewe.

Imeandikwa hivi; "mawazo ya MUNGU na akili zake hazichunguziki". Ninachotaka kusema ni kwamba mwanadamu huwezi kuzichunguza kazi alizozifanya MUNGU na ukafanikiwa kujua kila kitu kwa asilimia 100%, haiwezekani.....

Hayo maji yaliyokuwa juu ya anga ni kweli yalikuwepo, nasema ni kweli sababu Biblia imeandika kuwa yalikuwepo, na walioandika ni Manabii wa MUNGU, na sote tunafahamu kuwa Nabii wa MUNGU huongea kwa niaba ya MUNGU, na tena MUNGU, kamwe hasemi "uongo".

Hivyo mimi nikiwa kama MKRISTO naamini kile kilichoandikwa na Manabii wa KWELI wa MUNGU, sababu nikiwa kama MKRISTO natakiwa kuenenda au kuishi kwa kuimani na siyo kwa kutazama physically. Tukisema leo hii tuanze kutazama vitu Physically kuna vingi sana hatutaona kwa macho yetu, ingawa vipo na MUNGU aliviumba! Kwa imani hayo maji yalikuwepo na ndiyo yalitumika kuleta gharika pamoja na maji mengine yaliyo chini ya ardhi pia.

Hata siku moja wanasayansi hawawezi kuja na majibu ya kila kitu. Isitoshe hiyo Sayansi yenyewe ni kazi ya MUNGU mwenyewe, kila kitu alichokifanya MUNGU, ndiyo hicho watu wanajaribu kujifunza na kuiga kufanya kisha wanaita ni "sayansi".... kwa maneno mengine niseme kuwa BWANA MUNGU ndiye "Master wa Sayansi", Yeye Ndiye aliyeianzisha Sayansi, wanadamu wanajifunza tu kile alichokifanya.
 
Back
Top Bottom