CS Mohammed: At Namanga every day crosses 120 trucks from Tanzania vs 30 from Kenya

CS Mohammed: At Namanga every day crosses 120 trucks from Tanzania vs 30 from Kenya

Tanzania wamenyekea lakini... Rafiki yangu huko Monduli ambaye ni mkulima aliniambia jana huu ujinga wa Magufuli unawafka mwisho sasa....

Soko lao kuu ni Kenya, wakikosa soko itakuwa balaa ...
Walete Darisalama.... Nae aache upuuzi wake huo. Ye anawaza tumbo lake na familia yake. Magu anawanyoosha kwa faida ya wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pitia kiwanda hiki kimoja kwanza
http://kekopharmaceuticals.co.tz/
Jombaa nikianza kukutajia pharma za Kenya na viwanda ambavyo ndio vya kutajika ukanda huu wa Afrika mashariki na ya kati si utazimia? Tena faida wanatengeneza kila mwaka na bidhaa zao zinavuka mipaka na kugonga kona zote ukanda huu. Ungejikita tu kwenye kujiliwaza kwamba bidhaa zao ni hedex tu.
 
Jombaa nikianza kukutajia pharma za Kenya na viwanda ambavyo ndio vya kutajika ukanda huu wa Afrika mashariki na ya kati si utazimia? Tena juu faida wanatengeneza kila mwaka na bidhaa zao zinavuka mipaka na kugonga kona zote ukanda huu. Ungejikita tu kwenye kujiliwaza kwamba bidhaa zao ni hedex tu.
So what!? I told you to mention dawa zipi mnauza TZ!?
 
Safi kabisa.. Wavuja jasho wa Afrika Mashariki tunatunishiana misuli ili hali kinchi kama Belgium [emoji1045] kenye watu takribani millioni kumi na mbili tu kina gdp ya 532usd billion wakati wavuja jasho wa Afrika Mashariki tupo zaidi ya 180 million lakini combined gdp yetu ni roughly 200usd billion.. Tuendelee tu kubishana ujinga nani yuko juu…

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So what!? I told you to mention dawa zipi mnauza TZ!?
Jombaa kuna kitu flani kinaitwa google. Ingia humo kama unataka kufahamu majina ya kila dawa ambayo iliingia Tz kutoka Kenya. Kama unabisha kuhusu hizo takwimu za TRA zinazoashiria kwamba madawa ndio yalikuwa export kubwa ya Kenya nchini Tz mwaka jana, fika kwenye ofisi zao kesho asubuhi.
 
Jombaa kuna kitu flani kinaitwa google. Ingia humo kama unataka kufahamu majina ya kila dawa ambayo iliingia Tz kutoka Kenya. Kama unabisha kuhusu hizo takwimu za TRA zinazoashiria kwamba madawa ndio yalikuwa export kubwa ya Kenya nchini Tz mwaka jana, fika kwenye ofisi zao kesho asubuhi.
Kha!!! Kitu kidogo tu unaanza kuandika insha!?
Just mention tuone usije ukajikuta unatuletea panadol hahahahah!!!
 
Mbona unapindisha pindisha na wakati hyo link inaonyesha km katika biashara sisi ndio tunawauzi sana[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zaTRA ndio zimemaliza kila kitu[emoji23][emoji23]Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao hawa viumbe, kwa porojo wapo sawa, ila ukiwaletea takwimu, hata kama ni kutoka kwa TRA na BoT lazima watapanick. Nimewaongezea takwimu ambazo zinaonesha kwamba deficit ya mahindi ambayo Kenya huwa inaagiza kutoka nje, 70% huwa yanatoka Uganda wakazamia kwenye mapango yao.
 
😂😂😂, u shud have clarified b4 announcing, too late now, face the music
 
as if hamna alternative ya Hedex! Mimi ninachojua Kenya hu-export chewing gum kama huyu economist Prof dr Ojwang alivyosema leo! Mpaka SGR imetajwa!


Dr. Ojwang has said it all...I think people like MK254 should reason carefully what this academician has pointed out.
 
Back
Top Bottom