Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #61
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha kwani Tanzania ndiyo wanalima chakula peke yake..?Soko si kenya pekee!! Hata hivyo inawezekana kuhifadhi mazao hata kwa mwezi mmoja wakati unaandaa mpango wa soko jingine. Lakini haiwezekani kukaa na njaa wakati ukitafuta mahali pengine pa kununua chakula. Utalazimika kutumia pesa zaidi kipindi hiki kwa sababu ya upungufu wa chakula na bei kupanda juu.
Wote tunaathirika lakini kenya wanaathirika zaidi. Ndio maana tumeona vurugu na kuchoma matairi huko kenya lakini hakuna vurugu Tanzania.
Tehe tehe kafanye research,hiyo panadol haikuji siku hiziThamani ya trela moja ya bidhaa kama madawa ,ambazo ndio export kubwa ya Kenya nchini Tz, ni sawa na thamani ya trela ngapi za maharage na mahindi? 15,20,25,30? Tafakari hayo.