ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mashindano ya shirikisho ya timu ndogo na hata hazijulikani
Tuseme tu ukweli nani anayeijua timu ya CS sFaxien inayocheza na Simba Jumamosi?
Hii timu kwenye ligi ya Tunisia ipo nafasi ya 6, sawa na Dodoma Jiji huku Tanzania
Timu kubwa Tunisia ni ES Tunis, Club Africain na Monastir lakini hili timu la ajabu sisi hatulijui
😀😅Tutasikia mtani anatamba eti nae anacheza kimataifa
Kimataifa Gani au UMISETA
Yanga tupo club bingwa tunachezea na team kubwa kama TP Mazembe, MC Alger, Al Ahly, Mamelod, ambazo hizi timu haziwezi kucheza shirikisho yaani mashindano ya akina mama
5imba acheni kufuru kufananisha CAFCL na Mashindano madogo ya Shirikisho
Msijipe ukubwa fake na mpo shirikisho
Ubaya ubwege
Yanga bingwa