Hii nchi ya Cuba ambayo ina vikwazo kiasi kwamba magari yao mengi ni yale ya kabla ya vikwazo miaka ya 1950’s mpaka sasa wana dose mbili ambazo karibu zitapata uhakiki wa WHO na tayari zina kinga kwa 90% Corona. Nchi hii ina watu milioni 11 tu chini hata ya Rwanda! Ni kisiwa…… Sasa sisi na wasomi kibao hatuna hata dawa ya majaribio ambao imekataliwa ! Yaani hata kujaribu hatujaribu lakini wasomi wetu wanataka wapewe heshima sawa na wale wa Cuba 🇨🇺 kwa lipi? Africa nzima hatuna chanjo 🤔
Cuba remains the only country in Latin America and the Caribbean to have produced a homegrown shot for Covid.
www.cnbc.com